Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Status
Not open for further replies.
Bora umeongea bintii na wanzako wajueee maana wanana wakipata ndoa ndio wameshamaliza hawajui kama mpo nyie mnasubirii hiyo nafasi.
 
Wapo ila wengi wao ni wavuta bangi, mateja, wapiga nyeto, mashoga,wanafunzi.
Hilo ni kweli % [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uwe makini ukihamishia mawazo huko utapata stress omba Mungu endelea na kazi Bwana atajibu tu.
 
Hakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti

Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa [emoji51] duuh kichwa inabasti

Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize
Niko na hitaji la mahusiano serious pia..nifate watsap kwa 0687 089980 tufahamiane na kumechisha vigezo vyetu kama tutaenda sawa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom