Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,019
Hakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti
Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa duuh kichwa inabasti
Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize