Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,863
- 3,415
- Thread starter
- #61
Nimeambiwa mwanaume ukisikia single bac apo itakuwa anamtu mmojaTupo bana....
Nimeambiwa mwanaume ukisikia single bac apo itakuwa anamtu mmojaTupo bana....
Huo ndo uhalisiaMmmmmmhhhhh hiyo research yk mama inamapungufu
Mi niko singleAisee hakuna jamn
Kila MTU lkn anamtazamo wake soo siwezi bisha wala kubaliHuo ndo uhalisia
Ingekuwa ni ngono Mungu asingeikubaliAvha kuwaza ngono. Komaa na masomo yako
Mimi npoAiseeee hakuna jamn
Basi nisamehe mpenzi.Ingekuwa ni ngono Mungu asingeikubali
Acha mawazo potofu sio kila anaye ongelea mahusiano anawaza ngono tu...be positive
Nimekusameh kabisaa,japo me nimemaanisha cjataniaBasi nisamehe mpenzi.
Hapo ujue nimetania tu.. Haya ni
Njoo pm
Wapo lakini bado wapo wapo sana si waoaji kabisa.UNATAKA KUSEMA HAKUNA WANAUME SINGLE?
sasa ukiwaza mahusino unakuwa unawaza nn kama huwazi ngono!?Ingekuwa ni ngono Mungu asingeikubali
Acha mawazo potofu sio kila anaye ongelea mahusiano anawaza ngono tu...be positive
Nimeona kuwa upo serious si ndio maana nikaomba msamaha fasta...Nimekusameh kabisaa,japo me nimemaanisha cjatania
Ahsante
Oksasa ukiwaza mahusino unakuwa unawaza nn kama huwazi ngono!?
kuwaza ngono si jambo baya pia na mahusiano sehem yake mihimu pia ni ngono.
ngono ipo ndani ya mahusiano hayo.
Sawa tangulia najaNimeona kuwa upo serious si ndio maana nikaomba msamaha fasta...
Haya njoo pm tuongee
Mimi sina kabisaaaaa hata huyo mmojaNimeambiwa mwanaume ukisikia single bac apo itakuwa anamtu mmoja
Mungu ndo kaumba ivyo nenda hospital utapata data mabint wanazaliwa weng kuliko vidume ata wanyama ni hivyo jalibu kufuga ata nyau azae utaonaNaamini usemi huu ya kwamba wanaume ni wachache saanaaa kuliko wanawake
FACTMungu ndo kaumba ivyo nenda hospital utapata data mabint wanazaliwa weng kuliko vidume ata wanyama ni hivyo jalibu kufuga ata nyau azae utaona