Aibu na upole ninao, ila ni mchangafu pale mtu anapojaribu kuwa na ukaribu au kujenga urafiki, huwa nafunguka vizuri katika maongezi.Napenda mwanaume wa hivi ila awe mchangamfu tukiwa wote! Kuna mkaka niliwai kua nae alikua mpole hadi mkikaa ndani unabaki kuongea mwenyewe kama redio!!!
Haha! Utaweza kuderive "hello"Mnhh... Njoo PM tusalimiane vizuri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]duh!Cjaelewa ktu umependwa na wanaume watano au macho yngu hayaoni...!? Kubashiteana kumeanza
sio kweli mbona mie nipo,,,hebu njoo inbobo tuyajenge mamitoHakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti
Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa [emoji51] duuh kichwa inabasti
Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize
lazima akubali tu kwailoUmmy Teacher amekubaliana na hilo kama waziri mwenye dhamana masuala ya kiafya ?
Kwa kuwa Wana vibamia??WAPO WENGI TU VIJANA HADI WAZEE
Aibu na upole ninao, ila ni mchangafu pale mtu anapojaribu kuwa na ukaribu au kujenga urafiki, huwa nafunguka vizuri katika maongezi.
Ila nasikitika tabia hii imenikosesha marafiki.
Mwenye tiba anaweza nisaidia.
Mbona wewe tangu nilipokupa kibuti upo single.Hakuna wa peke ako
u make me crazy u know wid ur love[emoji85]U r my man beybe[emoji9]nakupenda sana swthrt.Am nothing without u,u made me complete beybe.Mm binafsi sipo single maana dah before sijaingia kwny mahusiano hahaha kweli wanawake wapo wengi maana nilikuwa naviziwa km pesa na wanawake lkn huyu Arabian queen ndo shujaa leo hii. I love u so much my only one