DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,612
- 30,111
Single nipo, nashukuru Serikali imenipa ajira mpya za walimu wa science. Mwingine aliye single aje tuanzishe familia.
Mimi hapaAiseeee hakuna jamn
Sawa ahsant kwa ushaurSi kweli
Bado mtoto sana wewe... Kazania masomo.
MmhMimi hapa
Naamini usemi huu ya kwamba wanaume ni wachache saanaaa kuliko wanawakeUnamaanisha nini...?
Hahahahaaha[emoji23][emoji23][emoji23]Cjaelewa ktu umependwa na wanaume watano au macho yngu hayaoni...!? Kubashiteana kumeanza
Hakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti
Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa [emoji51] duuh kichwa inabasti
Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize
Sawa dadaHakuna wa peke ako
Hakuna wa peke ako
Wapo waleee single wa mfukoniUNATAKA KUSEMA HAKUNA WANAUME SINGLE?
Sasa kila mwanaume anachagua mwanamke hadhi yake. Kuwa single wakati kuna wanawake hadhi yako ni udomo zege. Siwezi kukomaa na wema sepetu wakati sio hadhi yangu. Kuna mabek 3 watamu kibaoInategemea unataka Mwanaume wa hadhi gani ila wanaume single tupo wengi [emoji19] [emoji19]
[emoji53]
Wapo waleee single wa mfukoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kila mwanaume anachagua mwanamke hadhi yake. Kuwa single wakati kuna wanawake hadhi yako ni udomo zege. Siwezi kukomaa na wema sepetu wakati sio hadhi yangu. Kuna mabek 3 watamu kibao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Single imeboreshwa siku hizi! Kuna waliooa na wasiooa......ukiwa na mwanamke mmoja hauna tofauti na single.
hahaha, kama kiti cha daladala. Afadhali umetusaidia kutusemea😀😀Hakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti
Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa [emoji51] duuh kichwa inabasti
Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize