Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Status
Not open for further replies.
Wapo wengi single tatizo labda unaweka specifications nyingi, wanaume ni sawa na ajira yaani unapokuwa huna kazi ukijipa hadhi flani tu kwamba wewe level yako ya salary ni kuanzia 2 million wakati hata kazi hujawahi fanya na uzoefu huna na ndivyo kwa wanaume yaani ukijipa hadhi flani ambayo siyo yako yaani mwanaume atakaekufuata awe hivi wakati hata nusu humfikii inakula kwako.

Mwanamume unampata kwenye mazungumzo ya kawaida tu hata kabla ya kukutongoza tayari umeshamuelewa
 
aseee kweli kabisa hakuna mwanaume single nakubaliana na wewe mkuu..... Hata Kama atakuepo atakua kaamua kupumzika kwa mida Ila so kwamba yupo single
Huyo single kwa muda ndo hivyo yupo kwenye kipindi cha mpito na huenda akaangukia kwa mleta uzi
 
Wanaume single wengi (sio wote) ni dizaini fulani hivi... Wana ule upole wa kiboya au wana aibu au wana kasoro fulani isiyofichika...!
Hapo hapo ndo pazuri kwa kuibua kipaji...anaweza akawa na aibu na upole wa kiboya lakini ukimpata hutojuta maana kuna wengine unaweza ukawaangalia kama huwajui wana upole wa kiboya ila akiwa na mrembo wake kutwa jokes ila akitoka mbele ya public ni tofauti
 
Yes
 
Hakika nimetokea kupendwa na wanaume zaid ya wa5 kwa nyakati tofauti

Lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyekuwa single wote wanakuja na wanajieleza ukweli kwamba wapo ktk mahusiano na kuwa mchepuko sifagilii kabisa [emoji51] duuh kichwa inabasti

Sasa Jamani dada zangu shikilien mnapopendwa kuna watu wanaumiza vichwa wanasubiria mtu atoe mguu ye aingize
Usijari hebu njoo umiliki moyo wangu, uifunge akili yangu ewe bint unayeteseka na mawazo ya mapenzi nipo tayar kukupa faraja na ukasikia furaha
 
Hapo hapo ndo pazuri kwa kuibua kipaji...anaweza akawa na aibu na upole wa kiboya lakini ukimpata hutojuta maana kuna wengine unaweza ukawaangalia kama huwajui wana upole wa kiboya ila akiwa na mrembo wake kutwa jokes ila akitoka mbele ya public ni tofauti
Naona umeanza kuzungumzia personality yangu. Watch it, you are not free to that extent.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom