Machombele
Member
- Nov 2, 2016
- 22
- 7
AhaaUkiwa singo utakuwa na kasoro, labda uwe chini ya umri flan
Si ndo maana kuna ile inaruhusu kuoa hadi wanawake saba, walijua wakikataza sawa na bure, ndo mana ruksa, cha muhimu uweze kuwatimizia wote pasukwapasu, asaa kwa sasa sidhani kama tunaweza, watu saba wote kwa mpigo aaaaaah na hizi chips yai,baga,mkate blue band,karanga za mayai wa kisasa, pombe,stress za job, lazima iishe kama penseli,. Ndo ukweli huo hatuwez, mana saba kila mmoja anataka zaid ya twice,Ahaa
Toooooba[emoji23]Si ndo maana kuna ile inaruhusu kuoa hadi wanawake saba, walijua wakikataza sawa na bure, ndo mana ruksa, cha muhimu uweze kuwatimizia wote pasukwapasu, asaa kwa sasa sidhani kama tunaweza, watu saba wote kwa mpigo aaaaaah na hizi chips yai,baga,mkate blue band,karanga za mayai wa kisasa, pombe,stress za job, lazima iishe kama penseli,. Ndo ukweli huo hatuwez, mana saba kila mmoja anataka zaid ya twice,
Mnaendelea kuchepuka lakini ulimi nje baada ya game,mana utamaliza style zote na maujanja ya kilingeni,
Hahahaha, ukitoka hapo mgongo unawaka moto,
UNATAKA KUSEMA HAKUNA WANAUME SINGLE?
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Wee huoni manabii,? Mfalme _________, wanawake 30
Tupo wengi tu... ila sisi wengine hatuna uwezo wa save 1ml per month 😡😡Aiseeee hakuna jamn
Hhhahhaahhaah hiyo ni partnership sasaTupo wengi tu... ila sisi wengine hatuna uwezo wa save 1ml per month 😡😡
Napenda mwanaume wa hivi ila awe mchangamfu tukiwa wote! Kuna mkaka niliwai kua nae alikua mpole hadi mkikaa ndani unabaki kuongea mwenyewe kama redio!!!huo upole na aibu, ndio ulionifanya niwe single mpaka sasa
Duuuh
hahahaaaNapenda mwanaume wa hivi ila awe mchangamfu tukiwa wote! Kuna mkaka niliwai kua nae alikua mpole hadi mkikaa ndani unabaki kuongea mwenyewe kama redio!!!
mbona mm 24 na chuo nimemaliza 2 years back tena engineering 4 years.Si kweli
Bado mtoto sana wewe... Kazania masomo.
Mnhh... Njoo PM tusalimiane vizuri.mbona mm 24 na chuo nimemaliza 2 years back tena engineering 4 years.
Hata EP, education psychology pia wanafundisha hayo mambo.
Sio wote mkuuIla ukweli sisi wanaume ndo chanzo, wanawake huwa wanalipiza
Kweli sio wote, ila kaa kijiweni uone tulivo mafisi wanaume,Sio wote mkuu
Ni wazembe wa kutafutaWAPO WENGI TU VIJANA HADI WAZEE