Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

Status
Not open for further replies.
Mbona wapo jaman ila shda yang ni vle nachagua sana hii tabia itabd niiache nsije kujuta bure
 
dah...wakaka single wamejaa mpaka wanamwagikia afu we unaleta story za ajabu ajabu huku....wengine tuko too selective,ukiachana na mtu unajipa muda kwanza kumtafuta the right one.
 
Ukisema wapo kwenye mahusiano una maanisha wameoa au wana watu kawaida tu?
Maana tulivyojaza mikadi ya michango ya harusi kwenye madroo sikuelewi!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom