Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Ni kweli lakini ukilipa mabaya kwa mabaya; mabaya hayatatoka nyumbani kwako, watu wakifanikiwa hata kwa msaada wa ndugu huwa wanatafuta kisingizio cha kujinufaisha. Ingawa wakipata dhoruba huwa wanarudi kwa ndugu masikini kumalizia siku za maisha yao hapa duniani
 
Mkuu Kuveta ata UK poa tu. We fanya skills tusake life pamoja. Come to pm we can make a deal..
Goodnight.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kuveta ata UK poa tu. We fanya skills tusake life pamoja. Come to pm we can make a deal..
Goodnight.

Uckonde homeboy Well and good. Ntakuja pm ili tuweze kuwasiliana na kufanya deal ze2 kibingwa
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli lakini ukilipa mabaya kwa mabaya; mabaya hayatatoka nyumbani kwako, watu wakifanikiwa hata kwa msaada wa ndugu huwa wanatafuta kisingizio cha kujinufaisha. Ingawa wakipata dhoruba huwa wanarudi kwa ndugu masikini kumalizia siku za maisha yao hapa duniani

Hahaha kweli mkuu hawa wa2 wenye roho mbaya ni wepesi wa kulilia kusaidiwa lkn wagumu sana wa kusaidia
 
Anasema ndugu zake hawakumjali halafu hao hao wamemfanyia mpango wa kwenda ulaya. Halafu hao hao hataki kuwapa msaada anadai wana roho mbaya..daah kiumbe wa ajabu huyu!

Alie mfanyia mpango kashamtoa kimaisha, hapo anaongea Ndugu wengine. Huyu mtoa mada kama yupo Ireland hivi...
 
Hahaha mkuu Swissme karibu mwanzo wa dunia tule bata na weupe. Bongo ya sasa hv michosho tu

Siku moja ntaleta bandiko la wala vumbi aka washinda bar vs wabeba box ..... challenge nazo zinasaidia kuamsha akili (bila kutukanana)
 
Mkuu ebu soma post yng vzr..nimesema alienipeleka ulaya ni baba angu mdogo tu,wakat wengine hata ela ya kutusaidiana kununua chakula achilia mbali ya shule hawakunipa. Afu vilevile nimekwambia nimekuwa nkitia msaada wa pesa kwa ndugu zng ambao hawajiwezi kwani wao hawakuwa na uwezo wa kunisaidia kutokana na maisha yao ya chini km ilivyokuwa sisi enzi hizo,lkn vilevile nimesema yule baba angu mdogo alienisaidia sijamwacha nyuma nlipotuma gari 2 nyumban nliagiza na yeye apewe 1 ambalo hadi leo analo na linamsaidia kwa shughuli zake za kazi. Sasa sijui ni post gani ulioona nimeandika kuwa sitaki kuwasaidia ndugu walonileta ulaya!!!

In short, wasaidie wasio kuwa na uwezo, mwenye uwezo anayetaka anything akutumie pesa mnunulie anacho hitaji, huo msaada tosha, usilipize kisasi, wafahamishe maisha ya ulaya yanavyo punguza umri kwa box na baridi Unayo uwa maungo. Nipo ulaya, na nawaaaidia jamaa zangu na marafiki wa karibuni na hata wasio nijua, mungu atanipa malipo.
 
Safi mkuu. me naomba ramani za kufika huko majuu nkatafute mtaji baadae nije kuwekeza bongo.
 
Safi mkuu. me naomba ramani za kufika huko majuu nkatafute mtaji baadae nije kuwekeza bongo.

Manadhau wapiga box mumetukatalia uraia wa nchi mbili, hivi hizi card za ccm I meant passport huku zinatutesa, tukitaka kuwekeza mihela kibao, wakati huo huo sie ndio tunao wasaidia wazee na familia kupunguza makali ya umasikini.
Pia sio hivyo hata diaspora tunachangia, tunanunua vifaa vya shule, hospitals na kuleta tz.

Ccm haina shukurani
 
Kama ww ulifanyiwa mpangi kwenda ughaibuni basi ni wajib wako kusaidia kama ulivyosaidiwa
 
Kama ww ulifanyiwa mpangi kwenda ughaibuni basi ni wajib wako kusaidia kama ulivyosaidiwa

Nasaidia sana bingwa wng em soma post yangu vzr 7bu naona km uliishia katikati
 
Manadhau wapiga box mumetukatalia uraia wa nchi mbili, hivi hizi card za ccm I meant passport huku zinatutesa, tukitaka kuwekeza mihela kibao, wakati huo huo sie ndio tunao wasaidia wazee na familia kupunguza makali ya umasikini.
Pia sio hivyo hata diaspora tunachangia, tunanunua vifaa vya shule, hospitals na kuleta tz.

Ccm haina shukurani

Kweli mkuu ndo mana kirefu cha CCM ni "chama cha mauzauza" Nashkur Mungu kuwa na uraia wa weupe
 
Asant sana mkuu. Kauli yako tu inaonesha kuwa uko pa1 na mm huku mwanzo wa dunia... Wanaobisha kuhusu maisha ya box na ofisi ni wale ambao hata uniform za askar wa uhamiaji bongo hawazijui achilia mbali kuvuka boda za weupe. Hongera kwa kufunguka macho mapema

Acha mambo ya kike na taarabu zako! Mtoto wa kiume wewe.
 
Safi mkuu. me naomba ramani za kufika huko majuu nkatafute mtaji baadae nije kuwekeza bongo.

Ukishafika nchi hii usitegemee serikali ya Tz itakuruhusu kwenda kuwekeza. Wanatuchukia wa2 wa nje kwa kuwa tuna upeo na pesa. Kwahiyo itakuwa ngumu kutuburuza km wanavyowaburuza wabongo wa uko
 
Back
Top Bottom