Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Ifike mahali kila mtu na abebe msalaba wake mwenyewe...........wabongo tunapenda sana dezo dezo....
 
Mkuu sasa itakuaje sababu mimi mwenyewe Bongo naona wanazingua, na nilimuomba Copenhagen aniunganishe nkapige box lakini bado hajanichek, fanya mpango mkuu nije, ndugu lawamaaaaa

Nenda ukafanywe punda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa itakuaje sababu mimi mwenyewe Bongo naona wanazingua, na nilimuomba Copenhagen aniunganishe nkapige box lakini bado hajanichek, fanya mpango mkuu nije, ndugu lawamaaaaa

Kweli mkuu ila kwanza unatakiwa uwe ushajiandaa afu na mm nkupe michongo ya kukufikisha kirahisi coz Ulaya ya sasa sio ya kukurupuka wanaweza kukurudishia airport
 
Last edited by a moderator:
Nenda ukafanywe punda.

Mkuu bora uwe punda Ulaya kuliko kufanywa daraja na wezi wa ESCROW. Wanasiasa wengi wa bongo wanatumia wa2 wenye akili km yako kufikia malengo yao ya wizi walojiwekea
 
Putting my Stance on ambivalence Mkuu....mimi nataka kuvuka border haiwezekani JK peke yake ndio awe anakata mitaa....

Mkuu huyu anaekushaur ubaki bongo ndo wale wanaotumiwa km daraja na kina prof Muhongo kufikia malengo yao ya wizi wa ESCROW. 7bu ndio wapigaji wao kura wakubwa
 
Imani imekuwa kitu chepesi sana,yani umejifananisha na watu wachache wa ukoo wenu halafu ukafanya conclusion kuwa kubeba box ni bora kuliko kuajiriwa ofisini!!

Mimi naona kama huu uzi umekaa kimatangazo mkuu,nisamehe kama nitakukwaza. Kulikuwa hamna sababu ya kutaja idadi ya Nyumba na magari uliyonunua.

By the way hizo nyumba umejenga au umenunua? Maana umenichanganya pale mwanzo,mara umejenga Mara umenunua.

Swali la pili, Hayo Mafanikio yote umeyapata Ndani ya muda gani? Maana isije ikawa umeyapata ndani ya miaka 20 Wakati bongo kuna watu wa ofisini hizo nyumba na gari anapata ndani ya muda mfupi sana
 
Kaka bora box la ulaya. ....yaani we saidia unaoona wanahitaji msaada. ...mi box naliheshimu sana maana linawapa wazazi wangu heshima kubwa sana mbele ya jamii. ......vijana wenzangu lazima mchangamkie fursa za ulaya na marekani, bongo hakuna kazi na zikiwepo za kujuana. .....
 
Asant sana mkuu. Kauli yako tu inaonesha kuwa uko pa1 na mm huku mwanzo wa dunia... Wanaobisha kuhusu maisha ya box na ofisi ni wale ambao hata uniform za askar wa uhamiaji bongo hawazijui achilia mbali kuvuka boda za weupe. Hongera kwa kufunguka macho mapema
 
Poa ndugu yangu mm nitaku pm

Mkuu norkim1991 samahani kama nitakuwa nimekukwaza , ila Avatar yako INANICHEFUA NA KUJIHISI KUTAPIKA MUDA WOTE ninanpo iona .
Hivi mkuu utawekaje avatar kama hiyo ya mikamasi afu kwa mtu mzima. samahani kama nitakuwa nime kukwaza kwa hili.
 
Asant sana mkuu. Kauli yako tu inaonesha kuwa uko pa1 na mm huku mwanzo wa dunia... Wanaobisha kuhusu maisha ya box na ofisi ni wale ambao hata uniform za askar wa uhamiaji bongo hawazijui achilia mbali kuvuka boda za weupe. Hongera kwa kufunguka macho mapema

Ukiwa una akili na unajua unachokitaka basi box linalipa saaana saaana, huwa nashangaa mtu anasema oooh ulaya maisha magumu, wanasahau kuwa ulaya yote sio uingereza. ...yaani UK ndio chimbo rahisi na bibi anatulea wajukuu zake vizuuuuri. ...mi alhamdulillah hapa nafanya mishe bimkubwa nae aje atoe tongotongo UK....ndio baraka zenyewe
 
Utumii whatsapp mkuu uni pm no yko....😉

Mkuu nlikuwa na whatsapp lkn nlii cancel kwa ajili ya usumbufu wa hawa wa2 ila week ijayo ntanunua sim nyingine niweke kadi mpya ambayo hawaifaham kwa ajili ya whatsp tu afu ntaku pm kwa mawasiliano zaid
 
baba mdogo wangu alisomeshwa alisomeshwa na baba yangu b'se hawakuwa na wazazi,jamaa kamaliza chuo alipopata ajira na kuoa,mzee wangu akaenda kumkopa kwa ajili ya ada yangu ya sec,jamaa akasema mnanisumbua kwanza hujanisomesha,wakati kutoka form 1-VII alikuwa anasomeshwa na mzee,akakata mawasiliano mazima,leo anaanza kunipigia simu.
Aisee ndugu wengine ni umiza kichwa
HahahaAaa,watanzania mkisaidia mnataka kusaidiwa?
 
Back
Top Bottom