Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Kuveta

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,154
Reaction score
636
Hali zenu wanajamvi?

Ndugu zng leo nimekuja na mambo ambayo yamenitokea mm na naamini kabisa yashawai kuwatokea na wengine kuhusu hawa ndugu zangu vitambi manager tuliowaacha bongo.

Kwanza kabisa ningependa nije na kahistoria kafupi ili nieleweke vzr. Mm nlizaliwa ktk ukoo wa watu wanaojiweza. Yani ktk ukoo wetu naweza kusema kuwa 79 ni ya watu waliosoma na ambao kutokana na shule zao wengi wao sasa wanafanya kazi ktk maofisi mbalimbali,wapo wanaofanya kazi ktk ofisi za serikali,wengine ofisi za makampuni na wengine ofisi zao binafsi.

Katika kipindi chote cha mafanikio yao watu hawa wanaojiweza wameshindwa kuwa msaada kwa wale wenye familia zisizojiweza.

Wazazi wangu ni moja ya familia isiyojiweza ktk ukoo wetu lkn hakuna mt aliejitolea kutusaidia. Tulishinda njaa,wakati wenzetu vyakula viliharibikia frijini.

Nlikosa hela ya kulipa shule wakati wengine walikuwa wanajenga heshima baa na kwenye kumbi mbalimbali za starehe. Mwaka 1999 nilibahatika kwenda ng'ambo kwa mpango wa baba angu mdogo fulani anaefanya kazi katika ubalozi wa Norway.

Nilipofika uku ng'ambo kwa kuwa nillikuwa bado nina umri mdogo nilipata mfadhili ambae alinipeleka shule na baada ya shule nikapata kazi ambayo wananilipa vizuri tu kulingana na elimu yangu niliokuwa nayo.

Sasa nimejenga bongo nyumba kubwa tu, moja nimepangisha,nyingine nimewapa wazazi wangu. Nimeshatuma gari 2, moja la wazazi,lingine la yule baba yangu mdogo aliyenifanyia mpango wa kwenda nje.

Na nimekuwa nikituma vihela kidogo kwa baadhi ya ndugu zangu ambao hawana uwezo. Sasa tokea ninunue nyumba na magari na kutuma hela bongo,nimekuwa nikipigwa mikuki inayotoka kila pande ya nchi.

Mara mjomba mara shangazi mara bamkubwa mara binamu na wengi wao ni wale wanaofanya kazi kwenye maofisi mbalimbali na wameshasahau kuwa hata mimi wakati nipo TZ nilihitaji msaasa wao ukiwemo wa shule wakaninyima,lakini leo full lawama kwamba toka nifike ulaya eti siwajali.

So nitawajali vipi wakati hata wao hawakunijali? Hii ndo inanifanya niamini kuwa bora maisha ya mbeba mabox ulaya kuliko ya mshinda ofisini bongo au nyi mnaonaje waungwana wenzngu,am i wrong?
 
Hali zenu wanajamvi? Ndugu zng leo nimekuja na mambo ambayo yamenitokea mm na naamini kabisa yashawai kuwatokea na wengine kuhusu hawa ndugu zangu vitambi manager tuliowaacha bongo. Kwanza kabisa ningependa nije na kahistoria kafupi ili nieleweke vzr. Mm nlizaliwa ktk ukoo wa wa2 wanaojiweza. Yani ktk uko we2 naweza kusema kuwa 79 ni ya wa2 waliosoma na ambao kutokana na shule zao wengi wao sasa wanafanya kazi ktk maofisi mbalimbali,wapo wanaofanya kazi ktk ofisi za serikali,wengine ofisi za makampuni na wengine ofisi zao binafsi. Ktk kipindi chote cha mafanikio yao wa2 hawa wanaojiweza wameshindwa kuwa msaada kwa wale wenye familia zisizo jiweza. Wazazi wng ni moja ya familia isiyojiweza ktk ukoo we2 lkn hakuna m2 aliejitolea kutusaidia. Tulishinda njaa,wakat wenzetu vyakula viliharibikia frijini. Nlikosa ela ya kulipa shule wakati wengine walikuwa wanajenga heshima baa na kwnye kumbi mbalimbali za starehe. Mwaka 1999 nlibahatika kwenda ng'ambo kwa mpango wa baba angu mdogo flani anaefanya kaz ktk ubalozi wa Norway. Nlipofika uku ng'ambo kwa kuwa nllikuwa bado nina umri mdogo nlipata mfadhili ambae alinipeleka shule na baada ya shule nkapata kazi ambayo wananlipa vzr tu kulingana na elimu yng nliokuwa nayo. Sasa nimejenga bongo nyumba kubwa 2, moja nimepangisha,nyingin nimewapa wazazi wng. Nimeshatuma gari 2, moja la wazazi,lingine la yule baba angu mdogo alonfanyia mpango wa kwenda nje. Na nimekuwa nkituma viela kidogo kwa baadhi ya ndugu zng ambao hawana uwezo. Sasa tokea ninunue nyumba na magari na kutuma ela bongo,nimekuwa nkipigwa mikuki inayotoka kila pande ya nchi. Mara mjomba mara shangazi mara bamkubwa mara bnamu na wengi wao ni wale wanaofanya kazi kwny maofisi mbalimbali na wameshasahau. Kuwa hata mm wakati nipo TZ nlihitaji msaasa wao ukiwemo wa shule wakaninyima,lkn leo full lawama kwamba toka nifike ulaya eti siwajali. So ntawajali vp wakat hata wao hawakunijali? Hii ndo inanifanya niamini kuwa bora maisha ya mbeba mabox ulaya kuliko ya mshinda ofisini bongo au nyi mnaonaje waungwana wenzngu,am i wrong?

Kwanza wewe si muungwana. Hali halisi ya ndugu zako unaijua kukuomba msaada kwa kuwa umekuwa mbeba mabox basi imekuwa nongwa??? hali ya uchumi wa nch hii unaijua kila mtu anabeba msalaba wake. Kivyako vyako ukitaka kuwasaidia wasaidie la hutaki piga kimyaaaaa
 
Nakushauri usirudi nyuma ktk maamuzi yako wakomeshe vivyo hivyo maana hao ni miongoni mwa wanaoirudisha TZ nyuma kwa ubinafsi na uchoyo....

Kuna waziri namfahamu ni bingwa Wa kujenga heshima bar lakini mchango Wa shule katoa elfu 15.....

Mkuu usijerubunika kwa porojo za samehe na kusahau wala dini..... Wacha wajifunze iwe somo kwa wengine.....

NARUDIA USITHUBUTU KUWA NA HURUMA.
 
Ni kweli kabisa bora mbeba mabox wa huko. Sasa fanya mpango basi uni pm na mm nipate raaman ya kuja huko? Maana hapa bongo hali ngumu sana.
 
Ila kuhusu hao ndugu , mm nadhani ndugu ndio walivyo.
 
Kwanza wewe si muungwana. Hali halisi ya ndugu zako unaijua kukuomba msaada kwa kuwa umekuwa mbeba mabox basi imekuwa nongwa??? hali ya uchumi wa nch hii unaijua kila mtu anabeba msalaba wake. Kivyako vyako ukitaka kuwasaidia wasaidie la hutaki piga kimyaaaaa

Anasema ndugu zake hawakumjali halafu hao hao wamemfanyia mpango wa kwenda ulaya. Halafu hao hao hataki kuwapa msaada anadai wana roho mbaya..daah kiumbe wa ajabu huyu!
 
baba mdogo wangu alisomeshwa alisomeshwa na baba yangu b'se hawakuwa na wazazi,jamaa kamaliza chuo alipopata ajira na kuoa,mzee wangu akaenda kumkopa kwa ajili ya ada yangu ya sec,jamaa akasema mnanisumbua kwanza hujanisomesha,wakati kutoka form 1-VII alikuwa anasomeshwa na mzee,akakata mawasiliano mazima,leo anaanza kunipigia simu.
Aisee ndugu wengine ni umiza kichwa
 
Ni kweli kabisa bora mbeba mabox wa huko. Sasa fanya mpango basi uni pm na mm nipate raaman ya kuja huko? Maana hapa bongo hali ngumu sana.

Usijar mkuu mwakan nakuja bongo kuangalia wazazi we nipe adres yako ya bongo nijue ntakutafuta vp
 
Nakushauri usirudi nyuma ktk maamuzi yako wakomeshe vivyo hivyo maana hao ni miongoni mwa wanaoirudisha TZ nyuma kwa ubinafsi na uchoyo....

Kuna waziri namfahamu ni bingwa Wa kujenga heshima bar lakini mchango Wa shule katoa elfu 15.....

Mkuu usijerubunika kwa porojo za samehe na kusahau wala dini..... Wacha wajifunze iwe somo kwa wengine.....

NARUDIA USITHUBUTU KUWA NA HURUMA.

Kumbuka hao ndugu ndio waliompeleka ulaya!..wazazi wake walikua choka mbaya hawajiwezi
 
baba mdogo wangu alisomeshwa alisomeshwa na baba yangu b'se hawakuwa na wazazi,jamaa kamaliza chuo alipopata ajira na kuoa,mzee wangu akaenda kumkopa kwa ajili ya ada yangu ya sec,jamaa akasema mnanisumbua kwanza hujanisomesha,wakati kutoka form 1-VII alikuwa anasomeshwa na mzee,akakata mawasiliano mazima,leo anaanza kunipigia simu.
Aisee ndugu wengine ni umiza kichwa

Bamdogo wa aina hii ata ukimkuta anakabwa njiani na ww sogea uwasaidie wezi kumkaba maana hana faida na ww hata kidogo
 
nakushauri uwasamehe ingawa inatia hasira,na ingawa pia nakushauri uwasaidie wenye uhitaji haswa,sio just ndugu
 
Back
Top Bottom