You can never be wrong brother, upo right 100%. Watu ukiwa na shida hawajali kabisa ila wanakusubiria ufanikiwe walete bakuli zao. Mimi still nipo chuo, sina mkopo na ninasoma kwa shida kichiz ada yenyewe naunga unga na sina uhakika wa kumaliza kusoma chuo kwa muda coz i expect to postpone studies next year but no one care, Ila ukishafanikiwa kidogo tu kila ndugu atakuja kuomba msaada as if they were preparing you to help them oneday au wali-invest kwenye mafanikio yako. Watakufuata as if they need something in return. Ukijiroga ukawa baba huruma for sure utajilaumu mbeleni au utakua na mafanikio haba kuliko uliyotakiwa kuwa nayo. Na ikitokea ukafall down hao hao ndo watakao anza kukusimanga kwa kutokua mwangalifu na ulichokua nacho, ambacho wao ndo waliokitumia.