Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Unasumbuliwa.na chuki/kisasi/kinyongo ulichobeba kutokana na kupitia maisha ya shida

Mtu akikupiga mzinga haina maana lazima umsaidie...... pia usitarajie kila mmoja kwenye ukoo atakusaidia.....kumbuka huwezi kuwa na familia na kutegemea ba mdogo akusaidie... kwa hiyo kama ukoo wako haukujengwa na upendo na kusaidiana usiwalaumu walivyokuacha juani (kwanza ni hulka ya wanadamu)

Pia kuna binadamu wengi sana wamesaidiwa hawalipi fadhila...tena alowasaidia akianguka wao hushangilia na kuanza kumnyali

Nitarudi nimechoka kuandika
 
Ukiwa una akili na unajua unachokitaka basi box linalipa saaana saaana, huwa nashangaa mtu anasema oooh ulaya maisha magumu, wanasahau kuwa ulaya yote sio uingereza. ...yaani UK ndio chimbo rahisi na bibi anatulea wajukuu zake vizuuuuri. ...mi alhamdulillah hapa nafanya mishe bimkubwa nae aje atoe tongotongo UK....ndio baraka zenyewe

Hahaha homie unankosha roho sana... Mkuu box linafaida kuliko ofisi za bongo huo ndio ukweli cause wengi wanaoshinda ofisini bongo maisha yao ya kawaida labda wawe na dili zingine. Mi mwenyew mwaka jana tu dingi alikuja kula upepo kwa malkia na kurudi bongo roho safiii
 
Asant sana mkuu. Kauli yako tu inaonesha kuwa uko pa1 na mm huku mwanzo wa dunia... Wanaobisha kuhusu maisha ya box na ofisi ni wale ambao hata uniform za askar wa uhamiaji bongo hawazijui achilia mbali kuvuka boda za weupe. Hongera kwa kufunguka macho mapema

Naomba no yk mkuu
 
Mbona unajipinga mwenyewe. mwanzo unasema hawakukusaidia, halafu unasema baba yako Mdogo amekusaidia kwenda Norway. sasa wewe kusaidia hao wengine unasema wamezidi, je huoni kama na wewe ni sasa na wao ila tofauti ni muda tu? Rudi nyumba ufanye kama huyu dada BBC News - African Dream: Tips from Tanzania's ice cream entrepreneur

Mkuu kila m2 ana malengo yake na style yake ya maisha. Afu sijajipinga kwa 7bu nlisema nlisaidiwa na baba angu mdogo m1 ambae na mm kwa shukrani yangu kwake nshamtumia mkebe wa miguu 4 anaotesa nao uswahilini. Then vilevile nasaidia ndugu wasiojiweza.. Ugomvi wng ni kwa wale wanaoshinda ofisini qmbao wakati nahitaji msaada kwao walinibeza kunicheka na kundharau, sio km ninakataa kumsaidia kila ndugu yng em isome post angu vzr utaelewa
 
Unasumbuliwa.na chuki/kisasi/kinyongo ulichobeba kutokana na kupitia maisha ya shida

Mtu akikupiga mzinga haina maana lazima umsaidie...... pia usitarajie kila mmoja kwenye ukoo atakusaidia.....kumbuka huwezi kuwa na familia na kutegemea ba mdogo akusaidie... kwa hiyo kama ukoo wako haukujengwa na upendo na kusaidiana usiwalaumu walivyokuacha juani (kwanza ni hulka ya wanadamu)

Pia kuna binadamu wengi sana wamesaidiwa hawalipi fadhila...tena alowasaidia akianguka wao hushangilia na kuanza kumnyali

Nitarudi nimechoka kuandika

Mkuu sikupingi kwa haya ulioandika lkn kuwasaida wa2 wa aina hii yataka moyo... Asant kwa ushaur
 
kwanza kabisa ulikuwa huna haja ya kujitambulisha wewe nani, iikuwa utoe mfano kama mtu Fulani kafanyiwa kitu Fulani, ikisha ikatokezea Fulani, jee kama hapo ukifanya kitu Fulani itakuwa sawa au?
lakini wewe unaiaibisha familia yako wakati ulitakiwa uistiri kwa kila njia moja au nyengine, hata kama wamekufanyia ubaya, wangapi wazee wao hutoa mimba zao wasije duniani au kuwatupa kabisaa, kwa maana hiyo uyu mtoto asimsadie mzee wake kwa sababu kamfanyia hivyo.
binadamu unatakiwa usamehe, usahau na umuombee dua alokufanyia ubaya asimfanyie mtu mwengine na umsitiri kwa jambo baya alolifanya. ni mabaya kweli lakini huwezi kulaumu sana inawezekana vizazi hawajawalea katika maisha ya maadili kiasi ambacho mtu anashindwa kujua kama nifanyavyo sivyo. kwahiyo huwezi kutupa lawama moja kwa moja.
jee wanapokuomba ni hawana saivi au wanataka ziada? kama hao walokufanyia ubaya yaani wamekuwa masikini sana na hawana msaada basi wasaidie, ila kama wanataka ziada tuu hapo itakuwa noma, maana kuna wengine hawajiwezi kabisa.
ikisha usiwachunie simu zao, wewe pokea,wasikilize ikisha waeleze kutokana na unazijua hali zao.
kasha jua kuwa kuna kupanda na kushuka.
 
Kuna watu wavivu kusoma utangulizi na kuulewa vizuri alafu wepesi kuandika maandishi meeeengi yanaykwenda kinyume
 
Pole kwa sasa unaonekana unaumwa. Kama unaumwa kichwa kunywa panado extra 2 na hilo tumbo la kuhara kunywa septrine 2, ulale ukiamka utajisikia vizuri.
 
Hao wanaomuomba amesema wanafanya kazi, ndio maana akasema bora box la ulaya kuliko kazi za ofisini bongo. ......wasio na uwezo anawasaidia. ....soma tena andiko lake tafadhali
 
Pole kwa sasa unaonekana unaumwa. Kama unaumwa kichwa kunywa panado extra 2 na hilo tumbo la kuhara kunywa septrine 2, ulale ukiamka utajisikia vizuri.

Mkuu sikulaum kwa matusi yako kwa kuwa najua we ni mtoto wa wale wana ukoo we2 nliowatosa hapa JF. Em nrushie jina la ukoo wako kwanza nikujue
 
Hao ndugu njaa tu, filisika uone shughuli yake, watakung'ong'a na majungu juu. Fanya yako achana nao
 
Kuna watu wavivu kusoma utangulizi na kuulewa vizuri alafu wepesi kuandika maandishi meeeengi yanaykwenda kinyume

Kweli mkuu...m2 anasoma kichwa cha habar na kutiririka na lawama bila kusoma mada yenyew
 
Nakushauri usirudi nyuma ktk maamuzi yako wakomeshe vivyo hivyo maana hao ni miongoni mwa wanaoirudisha TZ nyuma kwa ubinafsi na uchoyo....

Kuna waziri namfahamu ni bingwa Wa kujenga heshima bar lakini mchango Wa shule katoa elfu 15.....

Mkuu usijerubunika kwa porojo za samehe na kusahau wala dini..... Wacha wajifunze iwe somo kwa wengine.....

NARUDIA USITHUBUTU KUWA NA HURUMA.

:becky::becky:
 
Hao ndugu njaa tu, filisika uone shughuli yake, watakung'ong'a na majungu juu. Fanya yako achana nao

Kweli mkuu naogopa ata kukanyaga Tz wanaweza kunikodia wa2 wanaiuwe
 
Hongera mkubwa kwa kununua gari mbili na kujenga nyumba mbili,naunga mkono hoja kwa 100%.

Asant bingwa wangu. Nashkuru Mungu box langu linafaida,wanaoshinda ofisini wengi wao bado wanapanga mpk leo
 
Back
Top Bottom