- Thread starter
- #161
aikambee
Aisee Chalii....hapa inamaanisa nn baba angu?
aikambee
Mleta mada ni mbumbumbu, amesoma lakini hajaelimika
Bandiko lako lina sura mbili
Mosi, kujaribu kuwaponda ndugu zako lakini umesahau kuwa ndio walikupeleka huko kubeba box
Pili, kujaribu kuponda na kuonyesha kufanya kazi bongo ni bure bora kufanya kazi za kizembe zembe ulaya
Njoo bongo uone, kuna watu wanapiga hela zao ndefu sanaaa tu
Nahakika ulipokua unashindia kiporo ulipita kwa ndugu zako kuomba msaada na ndio maana wakakupeleka ulaya lakini sasa wewe unashangaa ndugu wakikuomba msaada
ACHA KUIDHALILISHA FAMILIA YAKO MKUU HAYA NDIO MAISHA YETU KIBONGO BONGO