Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,370
Bamdogo wa aina hii ata ukimkuta anakabwa njiani na ww sogea uwasaidie wezi kumkaba maana hana faida na ww hata kidogo
aisee ndugu wengine hawana msaada kabisa,yaani kwenye familia utakuta kuna ndugu atawakana tu,leo hii na yeye ana watoto ndo anaanza kuleta ukaribu,wakati miaka zaidi ya 13 mi nafight kagoma hata buku ya kunisaidia hanipi