Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

In short, wasaidie wasio kuwa na uwezo, mwenye uwezo anayetaka anything akutumie pesa mnunulie anacho hitaji, huo msaada tosha, usilipize kisasi, wafahamishe maisha ya ulaya yanavyo punguza umri kwa box na baridi Unayo uwa maungo. Nipo ulaya, na nawaaaidia jamaa zangu na marafiki wa karibuni na hata wasio nijua, mungu atanipa malipo.

Asant kwa ushaur maridhawa mkuu
 
Mimi hayo mambo ya ndugu nishasahauuu....Ndugu yangu Mama yangu na Kaka zangu....waliobaki wakwendee....!!!
 
Mimi hayo mambo ya ndugu nishasahauuu....Ndugu yangu Mama yangu na Kaka zangu....waliobaki wakwendee....!!!

Kweli mkuu we tizama hao unaoona ndio walikuwa nguzo zako za mafanikio afu wengine potezea tu. Sikatai kwamba kuna ndugu wengine hata km hawakuwa na uwezo wa kifedha lkn walionesha moyo wa kunsaidia kimawazo na ushaur na ndio hao ambae wakiwa na shida mm pia huwasaidia,lkn wale waliokuwa wanajifanya maisha ya familia nzm wanayakontroo wao na kushindwa kutoa msaada kwngu hao sina time nao ata wazikiri uchi
 
Unaweza kuwa fundisha kwa ukarimu wako, wakajua kuwa usimdharau usie mjua. huenda ikasaidia walioko nyuma yako. SAMEHE ILA USISAHAU
 
Unaweza kuwa fundisha kwa ukarimu wako, wakajua kuwa usimdharau usie mjua. huenda ikasaidia walioko nyuma yako. SAMEHE ILA USISAHAU

Yah mkuu nshawasamehe kwa yote ila nimewambia waache mikuki. Maana kuna wa2 ambao wanastahili kusaidiwa sio hawa washinda ofisini bongo
 
Nakushauri usirudi nyuma ktk maamuzi yako wakomeshe vivyo hivyo maana hao ni miongoni mwa wanaoirudisha TZ nyuma kwa ubinafsi na uchoyo....

Kuna waziri namfahamu ni bingwa Wa kujenga heshima bar lakini mchango Wa shule katoa elfu 15.....

Mkuu usijerubunika kwa porojo za samehe na kusahau wala dini..... Wacha wajifunze iwe somo kwa wengine.....

NARUDIA USITHUBUTU KUWA NA HURUMA.

hahaaaaaa binamu labda kaupata kwa kalumanzila
 
Kuveta piga kazi baba,waliokunyanyua wanyanyue
masuala ya kusamehe samehe ndo yanatucost wabongo wale waliokudiss enzi zile tupa kulee
"waliokudharau siku moja watakusalimia kwa heshimaa"
 
Last edited by a moderator:
Mbona heading na contents havihusiani? By the way usigeneralize kwamba bora BOX ulaya kuliko OFISI bongo, kuna watu wengi sana ambao ofisi zinawatoa na wengi sana wanabeba box daily na hawana hata uhakika wa maisha
 
nimeenda zangu majuu, ndugu zangu WANANIGEUKIA,
nimefanikiwa life majuu, ndugu zangu WANANIGEUKIA,
nabeba mabox ulaya, wabongo wote WANANIGEUKIA,
WANANIGEUKIA,WANANIGEUKIA,WANANIGEUKIA.
 
Hali zenu wanajamvi?

Ndugu zng leo nimekuja na mambo ambayo yamenitokea mm na naamini kabisa yashawai kuwatokea na wengine kuhusu hawa ndugu zangu vitambi manager tuliowaacha bongo.

Kwanza kabisa ningependa nije na kahistoria kafupi ili nieleweke vzr. Mm nlizaliwa ktk ukoo wa watu wanaojiweza. Yani ktk ukoo wetu naweza kusema kuwa 79 ni ya watu waliosoma na ambao kutokana na shule zao wengi wao sasa wanafanya kazi ktk maofisi mbalimbali,wapo wanaofanya kazi ktk ofisi za serikali,wengine ofisi za makampuni na wengine ofisi zao binafsi.

Katika kipindi chote cha mafanikio yao watu hawa wanaojiweza wameshindwa kuwa msaada kwa wale wenye familia zisizojiweza.

Wazazi wangu ni moja ya familia isiyojiweza ktk ukoo wetu lkn hakuna mt aliejitolea kutusaidia. Tulishinda njaa,wakati wenzetu vyakula viliharibikia frijini.

Nlikosa hela ya kulipa shule wakati wengine walikuwa wanajenga heshima baa na kwenye kumbi mbalimbali za starehe. Mwaka 1999 nilibahatika kwenda ng'ambo kwa mpango wa baba angu mdogo fulani anaefanya kazi katika ubalozi wa Norway.

Nilipofika uku ng'ambo kwa kuwa nillikuwa bado nina umri mdogo nilipata mfadhili ambae alinipeleka shule na baada ya shule nikapata kazi ambayo wananilipa vizuri tu kulingana na elimu yangu niliokuwa nayo.

Sasa nimejenga bongo nyumba kubwa tu, moja nimepangisha,nyingine nimewapa wazazi wangu. Nimeshatuma gari 2, moja la wazazi,lingine la yule baba yangu mdogo aliyenifanyia mpango wa kwenda nje.

Na nimekuwa nikituma vihela kidogo kwa baadhi ya ndugu zangu ambao hawana uwezo. Sasa tokea ninunue nyumba na magari na kutuma hela bongo,nimekuwa nikipigwa mikuki inayotoka kila pande ya nchi.

Mara mjomba mara shangazi mara bamkubwa mara binamu na wengi wao ni wale wanaofanya kazi kwenye maofisi mbalimbali na wameshasahau kuwa hata mimi wakati nipo TZ nilihitaji msaasa wao ukiwemo wa shule wakaninyima,lakini leo full lawama kwamba toka nifike ulaya eti siwajali.

So nitawajali vipi wakati hata wao hawakunijali? Hii ndo inanifanya niamini kuwa bora maisha ya mbeba mabox ulaya kuliko ya mshinda ofisini bongo au nyi mnaonaje waungwana wenzngu,am i wrong?

Wewe kwanza sidhani kama unaongea ukweli kwa maana kama ni kweli umefikia hayo Mafanikio kwenye nchi za Kibepari (Za magharibi) ina maana ni lazima utakuwa na Ujuzi unaohitajika, na ili uwe una ujuzi unaohitajika ni lazima uwe na Intelligence pia inayoendana lkn ktkna na hayo uliyoyaandika nashindwa kuamini kama ni kweli unaweza kuwa na qualification za kupata kazi inayolipa vizuri nchi za Kibepari, na kama umepeta basi ni karibu watakutema!
 
nimeenda zangu majuu, ndugu zangu WANANIGEUKIA,
nimefanikiwa life majuu, ndugu zangu WANANIGEUKIA,
nabeba mabox ulaya, wabongo wote WANANIGEUKIA,
WANANIGEUKIA,WANANIGEUKIA,WANANIGEUKIA.

Hahaha bingwa hiyo mistar imegusa wengi. Yani kuna wa2 bongo ukichoka pindi wao wanazo wanakucheka, na ukiwa nazo pindi wao zimewatoka wanaanza majungu na fitina. Sasa people like these dawa yao kuwaziba pumzi tu no responding phone wala kuwapigia
 
Wewe kwanza sidhani kama unaongea ukweli kwa maana kama ni kweli umefikia hayo Mafanikio kwenye nchi za Kibepari (Za magharibi) ina maana ni lazima utakuwa na Ujuzi unaohitajika, na ili uwe una ujuzi unaohitajika ni lazima uwe na Intelligence pia inayoendana lkn ktkna na hayo uliyoyaandika nashindwa kuamini kama ni kweli unaweza kuwa na qualification za kupata kazi inayolipa vizuri nchi za Kibepari, na kama umepeta basi ni karibu watakutema!

Mkuu unachohoji si cha kupuuzwa hata kidogo mana ktk mitandao ya kijamii kila m2 anamtizamo wake ktk kutoa maoni. Lkn ninachoona mm kutoka kwako ni kwamba ni km uzi wangu hujauelewa vzr. Wa2 wengi wanahisi km mm nimeamua kuuchafua ukoo wng, lkn ukweli ni kwamba sikuuchafua ukoo bali kuna baadhi ya wana ukoo ndio ambao nliwachafua kutokana na yale walioyatenda kwng afu baada ya kuntendea ubaya wakati mi nlikuwa nshasamehe na kusahau wameanza tena kunrushia mikuki ya shida zao na hiyo haitoshi pia lawama zimekuwa zikiniandama kutoka kwao kana kwamba kuna msaada wowote walionsaidia. Mm aliensaidia kufika uku nshamsaidia na ntaendelea kumsaidia na wale ambao hawakunsaidia kutokana na uwezo wao mdogo enzi zile vilevile nawasaidia kwa 7bu najua hali zao kimaisha toka nipo bongo,lkn hawa waliokuwa wananibeza na kundaharau mi sina mda nao. Em soma post angu vzr uielewe mkuu utaona wala sio m2 mbaya kabisa
 
Mbona heading na contents havihusiani? By the way usigeneralize kwamba bora BOX ulaya kuliko OFISI bongo, kuna watu wengi sana ambao ofisi zinawatoa na wengi sana wanabeba box daily na hawana hata uhakika wa maisha

Heading na contents vinaendana kwa 7bu nimezungumzia kwamba ndugu washinda ofisini bongo,leo wananililia shida mm wa ulaya ambae naitwa mbeba box. Na sio mm tu ma homeboy wng kibao wanakumbana na mambo hayo ya kupigwa mikuki na ndugu zao ambao waliwaacha wanapiga kaz ktk ofisi mbalimbali. Mkuu hata ww sk ukija anga hizi lzm ukumbane na hali hii. So ni bora iwe kwa wale waliokuwa wanakuthamini toka bongo lkn si kwa wale waliokuwa wanakudhihaki na kukudharau. Then sikatai kwamba wapo baadhi ya washinda ofisini bongo ambao wana maisha mazuri kuliko box kwa 7bu inategemea huyu mbeba box ana malengo gani na mshinda ofisini vilevile ana malengo gani,lkn mi hapa nazungumzia majority washinda ofisini bongo wengi wamechoka wana maisha ya kubadilisha dagaa na maharage tu lkn swala la maendeleo 0%
 
Kuveta piga kazi baba,waliokunyanyua wanyanyue
masuala ya kusamehe samehe ndo yanatucost wabongo wale waliokudiss enzi zile tupa kulee
"waliokudharau siku moja watakusalimia kwa heshimaa"

Kweli mkuu Geniveros wa2 wanashindwa kuelewa utamsaidia vp mtu aliekunyanyasa afu baada ya hapo umetoka kimaisha na umeenda kukaa mbali na wao lkn bado wanakusukumia maneno ku.nya huu si upuuzi uliopitiliza misingi ya utu
 
Last edited by a moderator:
kama umefanikiwa una uwezo wasaidie ndugu zako maisha kuna kupanda na kushuka
 
Wewe kwanza sidhani kama unaongea ukweli kwa maana kama ni kweli umefikia hayo Mafanikio kwenye nchi za Kibepari (Za magharibi) ina maana ni lazima utakuwa na Ujuzi unaohitajika, na ili uwe una ujuzi unaohitajika ni lazima uwe na Intelligence pia inayoendana lkn ktkna na hayo uliyoyaandika nashindwa kuamini kama ni kweli unaweza kuwa na qualification za kupata kazi inayolipa vizuri nchi za Kibepari, na kama umepeta basi ni karibu watakutema!

Tatizo lako hujafika wala huyajui maisha ya uingereza. ....haihitaji usome saaaana ndio ufanikiwe. ...kuna kazi za kawaida ambazo hazihitaji kusoma sana lkn zinalipa ile mbaya. .....unaweza kuwa na maisha ya kawaida ya kujibana ulaya lkn ukafanya ya maana sana bongo.
Wengi wanaosema maisha ya ulaya maguuuumu kwanza waulize wapo nchi gani ya ulaya? Waulize wana vibali vya kuwaruhusu kufanya kazi fulltime?..sio mtu anaishi kama mwanafunzi ukafananisha maisha yake na mtu mwenye indefinitely leave to remain
 
Unajuaje kama Sijawahi kufika nchi za Kibepari? Halafu embu nitajie hiyo kazi ambayo utafanya Nchi za Kibepari ukawa na Maisha mazuri huko na vile vile ukajenga nyumba mbili Bongo na kununua Magari bila ya kuwa na Utaalamu unaohitajika!
 
Back
Top Bottom