Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

Ndugu nawawekea hapa vitabu hivi mkavisome ili muweze kupata kuujua ukweli ambao utaondoa mashaka yote mliyo nayo kuhusu asili ya binadamu wote.

Sio hadithi za kutungwa bali ni vitambu vilivyoandikwa na wana science waliobobea katika nyanja ya vinasaba (DNA).

Hapa nimefanikiwa kuambatanisha viwili tu

1. The Seven Daughters of Eve cha Bryan Sykes
2. Guns, Germs and Steel cha Jarod Diamond

Pia waweza kusoma hivi vingine

1. African Exodus: The Origins of Modern Humanity cha Chris Stringer
2. The Journey of Man cha Spencer Wells.

Ukisoma hivi vitabu hakika hautasumbuka kuwa unajiuliza maswali mengi sana kwakuwa vimeandikwa kwa ustadi na facts za hali ya juu.

Kazi kwako.
 

Attachments

  • The Seven Daughters Of Eve ( PDFDrive ).pdf
    4.2 MB · Views: 20
  • GUNS, GERMS AND STEEL - AHS History ( PDFDrive ).pdf
    5 MB · Views: 19
Quran na bible ni delusion vitabu havina ukweli havielweki kama vinaenda mbele au vinarudi nyuma vipo stagnant maana ukisoma Quran na bible ni vituko sana
Eti katika bible kuna watu waliasi wakageuka chumvi wengine walitenda dhambi wakaunguzwa kwa kuangamizwa sodoma na gomora wakati dunia ya Leo watu wanatenda dhambi na mbona hakuna hizo adhabu why siku hizi hakuna utakuja kugundua zilikiwa stori za kutunga tu hazina ukweli wowote

Eti katika Quran kuna mtu anaongea na sisimizi wenyewe wanamwita Suleiman unajiuliza hivi hawa watu wanaoamini hivi vituko vya hadithi vya kutunga huwa wanawaza nini ? Kukubali vituko ambavyo mbona now days havitokei
Si msomaji lakini leo dunia imestaarabika sana Sodoma watu kukazana bila kujali ni mwanaume au mwanamke na siyo kwa kificho imagine
Mfano umesafiri labda kwenda mkoani
Umefika kwa mwenyeji wako raia wamekuona ulivyokuwa unakuja wamekutamani usiku wamekuja kundi la raia wanataka mwenyeji wako akutoe nje wakubandue
hiyo nchi unaifananisha na nchi gani leo?
Fikiria mwenyeji wako anasema basi mchukueni binti yangu raia hawataki hata mke wa jamaa hatakiwi unatakiwa wewe

Lakini kuna wale mitume sijui walipokuwa wanaongea na Mungu kuhusu kuangamiza mji fulani wakauliza
Je tukikuta mfano kuna watu mia moja wema tuchome hivyo hivyo
Wakaambiwa hapana
Wakauliza je 50
Hapana
Kumi
Hapana
Mmoja je
Wakaambiwa msichome

Sasa leo dunia bado ina watu wema ndiyo maana bado ipo salama japo kuna imani nyingi nyingine potofu lakini Mungu anaangalia dhamiri ya mtu zaidi

Loto sijui Lutu na mkewe
Mungu alitafuta tu namna ya kumwadhibu huwenda pia yeye alikuwa na maovu yake
Kwa hiyo msigeuke nyuma yeye kugeuka siyo bahati mbaya ni mpango



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
unajidanganya na hekaya za kiyunani na kiebrania
Kwa taarifa Yako "Binadamu'' aliundwa maabara na
" Watu'' walitokana na Nature
Kiurahisi zaidi ni kwamba
Watu walitokea zamani Sana Kwa evolution from primitive to homo sapiens
Baadae Kuna viumbe kutoka nje ya mfumo wa Nyota yetu viliingia duniani na kumtengeneza Binadamu awe na mfano na mtu wa Asili wa Dunia hii ndio hao wakuitwa Caucasians na jamii zao na ndio maana wazungu walizuka tu ghafla duniani hao ni cloning project
Kwahiyo Kwa kujua tu mkubwa walikuletea dini kukupumbaza mwafrika usijue historia ya Dunia hii na wamefanikiwa kuwateka wengi na hapa Ili kudhibitisha Hilo nasubiri povu na sintofahamu!
😁😁😁
😁😁😁 yaani wewe unadanganyika kirahisi sana mkuu. unamwamini Charles Darwin na maungo yake ambayo hayawezi kuwa proved
Hiyo nature ni nini?
Tunaamini biblia kwa kuwa imeandikwa na watu tofauti ,kwa nyakati tofauti lakini wanaandika vitu vinavyofanana na mautabiri yao yametimia
 
😁😁😁 yaani wewe unadanganyika kirahisi sana mkuu. unamwamini Charles Darwin na maungo yake ambayo hayawezi kuwa proved
Hiyo nature ni nini?
Tunaamini biblia kwa kuwa imeandikwa na watu tofauti ,kwa nyakati tofauti lakini wanaandika vitu vinavyofanana na mautabiri yao yametimia
hahahah eti Charles Darwin wewe jamaa unafurahisha sana halafu unauliza nature ni Nini kama hujui hata maana ya nature Sina namna ya kukupa Elimu Aisee
Halafu usidhani wote humu tunaamini nadharia za Dini humu,
Kama wewe source Yako biblia pole Sana maana unadai biblia imeandikwa na Watu tofauti na wakati ukweli unajulikana ni
Copy & paste from accient civilization hii unayoijua wewe ni sehemu ndogo Sana ya kile kikubwa kilicho nje ya mfumo!
 
Ukweli ni huu... sijui kama nitaeleweka..dunia ilikuepo kabla ya adam na hawa.. na uhai ulikuepo kabla ya adam hawa..hivyo hivyo mtu (watu, sio wanaadam) walikuepo na historia na sayansi imeprove uwepo wa watu (again sio wanaadamu) maeneo ya afrika..sasa basi hawa weupe wametoka wapi... miaka mingi zaidi nyuma enzi za dinosaurs era kulitokea ugeni ambao haujawahi kutokea duniani na wageni hao still tunao... kuna viumbe kutoka sayari ingine wanaoitwa the annunaks walifika hapa duniani kwetu.. walikua ni wenye nguvu na maarifa ya ajabu walipofika walianzisha miradi ya dhahabu na malighafi zengine ambazo ni muhimu kwenye sayari waliyohamia baada ya ya kwao kuiharibu kwa vita vya wao wenyewe kwa wwnyewe inasemekana ni mars. basi watu walikuepo duniani ila wao waliwatengeneza clowns wao kwa kutumia DNA zao na waliwatengeneza kwa sura na mfano wao..hata kwenye bible imetajwa mahali hii utaelewa..basi hao watu ni adam na hawa(eva).. Lengo lao kubwa ni kuja kuitawala dunia na mali zake kwa manufaa yao basi clones zao yani adam na hawa ndio wangekua leading cndidates katika kuzaisha wanaadamu wengi wa dizaini yao wenye utashi na maarifa ili kufanya yao hapa duniani. basi baada ya hapo ndio kikaja kizazi cha wanaadam akina kail na abel... na ndio maana baada ya mmoja wao kumuua mwenzake sijui ni kail au abel alifukuzwa kwenda nchi ya mbali na alimuambia Mungu ( kiumbe aliewaumba wao) anaogopa watu wa nchi hizowatamuua. (hapa rudini kqwnye biblia mnaoamini kuwa adam na hawa walikua watu wakwanza je hizo nchi za mbali alizofukuzwa mtoto wa adamu waliishi watu gani na walitoka wapi)aliogopa ni kwa sababu alikua tofauti..alikua mweupe ndio Mungu akamwambia nenda tu atamlinda alifikia maeneo jirani ya mshariki ya kati akafanya muingiliano na wazawa na wakajenga nchi na mji mkubwa ambao mpaka sasa wanaupiga vita visivyoisha palestina hiyo.sasa basi hicho kizazi cha wanaadamu ndio kilikua na uwezo mkubwa kifikra na kuzikabili changamoto za dunia kwa kutmia akili tu.. basi hapo tukahubiriwa habari za Mungu wao ambae ndie wamemtaja kwetu kwamba ndio wa ulimwengu wote ila ukweli ni Mungu wao tu..tukaamini katika imani walizotuletea..ndio ikawa agents za ukoloni..dini...kama unabisha niletee kwwnye historia muanzilishi wa dini iwe ukristu au uisilamu ambae ni muafrika...walizianzisha wao ili watu wenye dunia yao ambao ni weusi wawe wanaongozwa tu kisaikolojia na kutawaliwa dunia yao ili wao wajinufaishe waliweka makazi yao ya kudumu hapa duniani na walichagua mazingira wanayowwza ku sarvive ya barad..hao wageni basi ndio wazungu au weupe na sisi weusi ndio wenye dunia yetu tulikuepo hapa duniani na tuli evolve kulingana na hali za kudunia kuwa rafiki kutoka kua cell mpaka full organism na kuendelea ku eveolve kutoka kua kiumbe wa kwenye maji mpaka kuja kuishi nchi kavu tukaevolve zaidi kutoka kwa nyani zinja hompsapiens mpaka kuja kua binadamu kamili na uwezo wetu wa kufikiri ulikua unakua kwa kasi kiasi kwamba tungeweza kuwa na teknolkia bora zaidi kama tusinge kuja kuwa braiwashed na hao watu weupe walikua advanced kidogo basi walitumia dini na tchnolojia yao kutabdilidi.. na walituma hadi manabii wao kuja kutjengea hofu ya mungu wao ili tuache kila kitu tumuabudu yeye tu ilihali wao wakiendelea na projects zao kwenye dunia yetu..... kama sijaeleweka mtanisamehehe sio muandishi mzuri ila pitieni mada nyingi humu jamii inteligenc zinajibu hilo swali la kuhusu hhizi rangi zetu.. yesu mtume mohammad nabii seleman na wengine sio weusi ni weupe na walikua na upeo mkubwa saana kimaarifa walitumia njia ambayo wao na weusi wote wangeishi bila vita.. taasisi za dini yingi ni tajiri za kutupwa na zimewekeza zaidi nji za africa kuliko huko kwao why.. kuna mahali bible inasema kizazi cha watu weusi ni kizazi cha laana..?? Ni tricks na ujanja ujanja tu ila watu weupe kwa kifupi naweza waita aliens....
 
Si msomaji lakini leo dunia imestaarabika sana Sodoma watu kukazana bila kujali ni mwanaume au mwanamke na siyo kwa kificho imagine
Mfano umesafiri labda kwenda mkoani
Umefika kwa mwenyeji wako raia wamekuona ulivyokuwa unakuja wamekutamani usiku wamekuja kundi la raia wanataka mwenyeji wako akutoe nje wakubandue
hiyo nchi unaifananisha na nchi gani leo?
Fikiria mwenyeji wako anasema basi mchukueni binti yangu raia hawataki hata mke wa jamaa hatakiwi unatakiwa wewe

Lakini kuna wale mitume sijui walipokuwa wanaongea na Mungu kuhusu kuangamiza mji fulani wakauliza
Je tukikuta mfano kuna watu mia moja wema tuchome hivyo hivyo
Wakaambiwa hapana
Wakauliza je 50
Hapana
Kumi
Hapana
Mmoja je
Wakaambiwa msichome

Sasa leo dunia bado ina watu wema ndiyo maana bado ipo salama japo kuna imani nyingi nyingine potofu lakini Mungu anaangalia dhamiri ya mtu zaidi

Loto sijui Lutu na mkewe
Mungu alitafuta tu namna ya kumwadhibu huwenda pia yeye alikuwa na maovu yake
Kwa hiyo msigeuke nyuma yeye kugeuka siyo bahati mbaya ni mpango



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ww unakubali hadithi hizi ni za kweli na ziliwahi kutokea?
 
unajidanganya na hekaya za kiyunani na kiebrania
Kwa taarifa Yako "Binadamu'' aliundwa maabara na
" Watu'' walitokana na Nature
Kiurahisi zaidi ni kwamba
Watu walitokea zamani Sana Kwa evolution from primitive to homo sapiens
Baadae Kuna viumbe kutoka nje ya mfumo wa Nyota yetu viliingia duniani na kumtengeneza Binadamu awe na mfano na mtu wa Asili wa Dunia hii ndio hao wakuitwa Caucasians na jamii zao na ndio maana wazungu walizuka tu ghafla duniani hao ni cloning project
Kwahiyo Kwa kujua tu mkubwa walikuletea dini kukupumbaza mwafrika usijue historia ya Dunia hii na wamefanikiwa kuwateka wengi na hapa Ili kudhibitisha Hilo nasubiri povu na sintofahamu!
😁😁😁
ha ha ha haaaa....we nae umetisha na nadharia yako
 
Sayansi inaposema binadamu wa kwanza aliishi miaka kadhaa au mabaki yake yalipatikana eneo flani sio sahihi sana.

Sasa hivi au hata baadae unaweza kuambiwa wamegundua masalia ya binadamu ambayo yanaonekana kuwa na umri mkubwa kuliko yaliyowahi kugundulika, hapo hapo habari ya kisayansi itabadilika na kusema huyo ndio atakua binadam wa kwanza na watataja eneo alipopatikana.

Nnachotaka kusema ni kwamba, taarifa zilizopo zinaendelea kuwa sahihi hadi hapo utakapofanyika ugunduzi mwingine.

Ingekua kuna chombo ambacho kime iscan dunia yote kujua mabaki yote ya binadam na wakajihakikishia kwamba hakuna tena mabaki yenye umri mkubwa kuliko haya yaliyogundulika sasa, wangekua sahihi.

Ila ya binadam alikua nyani hua ni sayansi, historia au kitu gani?
 
Kujibu hili swali tujiulize labda what is the earliest historical fact/evidence known to man aside from carbon dating...yaani ukiondoa hizi Za carbon dating(siiamini 100%),,Ni Historia ipi ya Kwanza inayomhusu binadamu tuliyonayo?
Nazojua Mimi
bible Ni 1400 BCE
Vedas Za wahindu Ni 1500BCE
Evidence ya watu wa sumerians huko Mesopotamia/Iraq/Kuwait Ni 4000BCE

Wewe unaijua yoyote ya zamani Zaidi?
Carbon dating haiendi miaka mingi nyuma, kuna kutumia lead , sodium ambayo inaweza pima umri wa miaka +5 bilion

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Je tuiamini biblia au sayansi ?
Sayansi inazungumzia watu kuzaliwa kwa kupitia reproduction in form of zygote ambapo lazima pawepo male na female, sayansi haizungumzii binadam alikuwepo karne fulan

But history tell us the existence of man through the theory called "Evolution of man" where by man was in a form of chimpanzee and he underwent gradually changes and became full man as seen today

Also Bible tell us, man was existed through the process called "Creation of Man" where by God created man, pale aliposema "...na tufanye MTU kwa mfano wetu"Mwa 3:... Hivyo bile inasema Mungu aliumba kwa mfano wake

Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika kitu gani hapo unaposema binadamu ametokea karne gani .. mbona sayansi imeshaelezea sana

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom