Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Hao unaowaita wapuuzi ni ndugu zako pekee...na siku moja utawahitaji,mathalan kwenye mazishi yako
 
Vijana wengi hawajui namna ya kuishi vizuri ugenini

Ukiishi Kwa watu (ugenini) hakikisha unawahi kuamka na kusaidia kazi za nyumbani mathalani Usafi wa Uwanja/ kunyeshea Maua/ kusaidia kazi za Jikoni n.k

Enzi za utoto wangu nimewahi kuishi Kwa ndugu miezi 2 hivi ama 3, lakini sikuwahi kuchokwa kwasababu nilikuwa najituma kufanya kazi hadi zile wanaita kazi za Kike nilifanya ikiwemo kudeki nyumba/kufagia uwanja kukatia mifugo nyasi n.k

Inapofikia Likizo imeisha ya kurudi Shule, ilikuwa hadi mwenyeji wangu hatamani niondoke maana alikuwa anaona nilivyokuwa nikimsaidia kazi za pale nyumbani
Mkuu ulikuwa kijana mdogo walikuwa wanq kutumia kwa kazi ndogo ndogo.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.
hao ni ndugu zako peke yako ndiyo wako hivyo sisi wa kwetu tunawathamini.

Mfano, sisi baba yetu alifariki tukiwa na umri mdogo (wote 4 tulikuwa chini ya miaka kumi). Ni wajomba zetu ndiyo waliokuwa wanatusaidia kwa kila hali mpaka tumefikia hatua hii. Nitashindwaje kuwasaidia watoto wao?
 
Mke hukimbia ukiumwa haswa,amini,ni watoto wa kaka,dada,mjomba, shangazi ndiyo watachezea mavi yako wakati hujiwezi
Mkuu inamaana kwa wakati huo atakua Hana watoto? Kwa mfano wewe una mke na watoto 5 mtoto wa kwa ana miaka 24 wa mwisho 14 ukipata ugonjwa mke na watoto wako watakukimbia kwenda wapi ?
 
Vijana wengi siku hizi hawataki kazi. Mbaya zaidi hata wazazi wao wakisikia wanafanya kazi hata zile nyepesi husema wamekuwa wajakazi
Hapo ndiyo tunapokosea kama Wazazi

Watoto lazima wafundishwe kufanya kazi

Ndiyo maana miaka ya zamani kulikuwa Kuna kazi za shambani Kwa Kila Mwanafunzi kumuandaa na maisha ya kujitegemea kupitia shughuli za Kilimo.

Miaka hii tunawalea watoto wetu kimayai mayai mno
 
Nuclear family (baba,mama&watoto) Vs Extended family (baba,mama,watoto&ndugu wa kutosha).

Hapo kwenye extended ndio balaa tena kama una uwezo mdogo lakini kwenye ukoo wewe ndio unaonekana ndio tajiri, utajua hujui.

Yaani wakati wewe unaweka mipango yako jinsi ya kuendesha familia na uchumi mgumu, kuna ndugu huko nae amekuweka kwenye ratiba zake kwamba anapanga kuzaa akuletee watoto wake ulee.

MZEE BABA USINGETOKA, UNGETIMUA WOTE. Mwingine akija kukaa usimuache apoe, ndani ya siku mbili unamuuliza ratiba zake zipoje na ana mpango gani?! Kama humuelewi mpe nauli ya kurudi, kama wakusalimia wiki au wiki mbili zinamtosha asepe.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Hongera jenga nyumba nyingine sasa
 
Mimi nakuelewa kaka,kwa watu ambao tushapitia hii situation hatuwezi kushangaa..hata kama utakua umetunga,Muumin Mwinyijuma aliwahi kuimba ndugu lawama..ndugu ni zigo la mavi kaka..japo sio wote ila wengine ni mtihani sana..
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Ngoja aumweee
 
Siku ukafariki hao ndo wa kuchimba kabri lako na jenaza lako hao ndugu hao usiwahukumu kwa mambo madogo ndugu ni ndugu siku zote.
Akishafariki, hilo la kuchimbiwa kaburi ama kuzikwa nao inamhusu nini? Umewahi muona marehemu anajipa majukumu?
 
Maisha mazuri na matamu yalipokoma nyumbani kwetu, hatukuwahi kuwaona wale ndugu waliokuwa wakijazana home huku wengine wakilala sebuleni. Nikapata funzo zito sana maishani, mimi nilishasema siku nitainuka kiuchumi, nitasaidia ndugu zangu wa tumbo moja ili nao wainuke zaidi
 
Kuna jamaa hapa kazini si alikuwa anaishi na vijana wawili watoto wa kaka zake na kilichotokea ni vijamaa vimemtombea mke wake
Vimefanya hivo kwa makubaliano na mwana mke au vimembaka tu?........kama kwa makubaliano mwenye tatizo ni mke, kua nalaya sio vijana.
 
Back
Top Bottom