Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Ngumu sana asee halafu we hata uishi na ndugu 20 siku ukiwa juu ya mawe wanaondoka kama nyuki na hawatakaa hata wakusalimie.....

Pia kinachonikeraga kwa ndugu kmamamae zao, wanakuja kuishi wanakula, hawajishughulishi na nyege zake anataka atoe kaa housegirl. I dislike naona kama kuna siku atahamia kwa watoto na sio kama wanahamiaga kwa watoto
Atazalisha hapo mitaa hiyohiyo. Yan inshort ndo kafika na kazi atachagua yeye.. timua hao
 
Umechukua uamuzi ambao wengi hatuuwezi.

Unajua Africa tumezoea kuishi bila Bajeti Maalumu. Unaweza kumtembelea ndugu yako na ukaa kwake hata miezi 6 pasipokuwa na shughuli ya kufanya, kama ilivyotokea Kwa ndugu zako.

Japo changamoto hii, huwapata ndugu waishio Mijini hasa DSM.

Niliwahi kumtembelea rafiki yangu raia wa Uingereza (Jinsia ya Kike) pasipo kumpa taarifa ya Ujio wangu kwake.

Bahati mbaya nilimkuta anakula chakula cha Usiku (Dinner), yule Binti hakunikaribisha chakula isipokuwa aliniambia ukweli mchungu kwamba sikuwa kwenye Bajeti yake ya Usiku huo maana nimeenda kwake ghafla.

Kwa tabia zetu Wabongo, ukimfanyia mtu hivyo ataenda kukutangaza namna ulivyo Mchoyo na mbinafsi.

Pole na hongera Kwa Ujasiri huo, binafsi siwezi kufanya ulichofanya.

Ndiyo maana nyumbani kwangu nina Chumba maalumu cha Wageni. Ukija utakula na Kulala hadi utakapoaga kuondoka kurudi kwenu.
Kwa waafrica huyo dada alikua na majibu ya kutoa kwenye ukoo 🤣🤣🤣🤣 kwanini kamnyima mgeni chakula
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Acha roho mbaya na uchoyo
 
Kwa waafrica huyo dada alikua na majibu ya kutoa kwenye ukoo 🤣🤣🤣🤣 kwanini kamnyima mgeni chakula
Kabisa Mkuu, nikaishia kumtoa kasoro tu kwamba hajui kupika 😜

Tangu lini Mzungu akajua kupika kuwashinda Dada zetu wa Kibongo 🤗
 
Jamaa yangu mmoja alikua ananisimulia kuwa alienda kumsalimia shangazi yake sasa ratiba yake ikawa akiamka asubuhi anaoga anaenda kuangalia TV hadi jioni maana hamna kazi ya kufanya pale nyumbani

Sasa baada ya siku kadhaa kupita akawa anashangaa mambo yamebadilika akiamka asubuhi anakuta umeme haupo ila kina shangazi wakirudi jioni umeme ndo unarudi eti ananiambia hajui ilikuaje kuaje hadi ikawa inatokea hivyo

Nikamwambia Fala kweli wewe ulikua umeshachokwa .
 
Mke wa jirani yangu aliwahi hama na kitanda na godoro akapangisha nyumba akiacha nyumba yao kubwa yenye geti, vyumba 4, jiko, n.k kisa ndugu wa mume wamejazana humo ndani miaka kadhaa kila wakipungua wanakuja wapya. Wao hushinda nyumbani kula vinono vya jokofuni na hupika nyama na samaki akiwaambia wachanganye mboga humtangaza kijiji kuwa ni mchoyo.
Kazi za nyumbani kama usafi hawafanyi muda mwingi ni TV na kuzurura wakidai anawafanya wafanyakazi wakufanya usafi sio sawa na kaka yao huwatetea. Akirudi kazini inabidi amsaidie house girl kazi maana zinamzidi vyombo ni kama hoteli. Mume alisusa ila alivyoachwa na nduguze alikaa week tu hoi mshahara kwisha aliishia kumfuata mkewe. Ikawa kila kila anayetaka kuja kasoro wazazi anawapokea anawapeleka kwenye ile nyumba kaka yao awape chakula wajipikie.
Kipindi hicho sikumuelewa ila sasa namuelewa.
Kukosa tu msimamo,nyumbani kwangu unipangie cha kupika?naondoka asubuhi natoa oda kwa dada bandika maharage nunua na mchicha sasa ngoja nirudi nikute wapika hizo nyama.....kwangu utakaa ila vigezo na masharti utazingatia..
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Katika kitu nilichojifunza kwa marehemu baba yangu ni kuhofia kuwa mkweli kwa ajili ya kuwafurahisha watu, ukiona kuna kitu hakiko sawa kwako sema, usikae kimya.
 
Kuikimbia nyumba yako yenye nafasi ya kujimwaga umeuita ushindi - ila ni ushindi wenye gharama kubwa.

Jee siku zote maishani mwako utaishi kwa kupanga kwenye nafasi finyu?
Ndio ni ushindi kwangu kuna kipindi mtu umachoka unataka upumzike hata mda wa kupumzika huna kwa kufatilia matatizo ya watu ambayo hayanihusu. Unawasaidia alaf bado wanaenda kukusengenya kwa watu nimeamua kama mbwai na iwe mbwai
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Achana na ndugu. Umefanya jambo la akili kupangisha nyumba yako, na kupanga ili mradi tu Kodi ya nyumba yako iweze kukulipia kodi ya huko ulikopanga na chenchi ibaki😂😂😂😂
 
Jamaa yangu mmoja alikua ananisimulia kuwa alienda kumsalimia shangazi yake akiamka asubuhi anaoga tu anaenda kuangalia TV hadi jioni maana hamna kazi ya kufanya pale nyumbani

Sasa baada ya siku kadhaa akawa anashangaa mambo yamebadilika akiamka asubuhi anakuta umeme haupo ila kina shangazi wakirudi jioni tu na umeme ndo unarudi eti ananiambia hajui ilikuaje kuaje hadi ikawa inatokea hivyo

Nikamwambia Fala kweli wewe ulikua umeshachokwa .
Vijana wengi hawajui namna ya kuishi vizuri ugenini

Ukiishi Kwa watu (ugenini) hakikisha unawahi kuamka na kusaidia kazi za nyumbani mathalani Usafi wa Uwanja/ kunyeshea Maua/ kusaidia kazi za Jikoni n.k

Enzi za utoto wangu nimewahi kuishi Kwa ndugu miezi 2 hivi ama 3, lakini sikuwahi kuchokwa kwasababu nilikuwa najituma kufanya kazi hadi zile wanaita kazi za Kike nilifanya ikiwemo kudeki nyumba/kufagia uwanja kukatia mifugo nyasi n.k

Inapofikia Likizo imeisha ya kurudi Shule, ilikuwa hadi mwenyeji wangu hatamani niondoke maana alikuwa anaona nilivyokuwa nikimsaidia kazi za pale nyumbani
 
Back
Top Bottom