Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
437
Reaction score
1,614
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
 
Mbona wakati wana changia ada zako uende shule hukulalamika, acha ubinafsi wa kijinga heshimu ndugu zako. Nyie mkipata vipesa kdgo kupita ndugu zenu mnaona ndugu ni washenzi sijui nyie watu wa mikoani mko je buana.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani ya nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
umejikomoa mwenyewe mkuu, hiyo kodi unayolipa huko inatosha kuwanunulia box la pempas na kuwapa nauli ya kurudi kwao, yaani ukimbie nyumba yako mwenyewe, uliyojenga kwa nguvu zako kisa ndugu? labda kama unachangamsha genge tu ili mchana upite
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani ya nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Pole sana.....
Bahati mbaya kuna watu hawatakuelewa zaidi ya kudhani we ni mchoyo na hupendi ndugu.
Mifumo ya maisha ya wa-Afrika ni ngumu Sana kuielewa.
Ubepari uko wazi kwamba familia ni baba, mama, na watoto, Yaani nuclear family system. Nothing more nothing less.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani ya nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu [emoji23][emoji23] anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.

Tafuta hela, kwa Mbowe wamejaa watu na halalamiki
 
Omba mungu akupe afya njema vinginevyoo pale muhimbili utajuta kutengana na ndugu

Marafiki watachoka

Mke atachoka

Vimada vitasepa na ngia namba tano

Walevi wenzio watakuona binchwa komwe......

Ndugu ni sehemu ya roho yako hata Mungu analijua hili heshimu ndugu kadri uwezavyo pesa zako hata usipo wapa wataishi mkuu usijidanganye fala wew......
 
Back
Top Bottom