Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Umechukua uamuzi ambao wengi hatuuwezi.

Unajua Africa tumezoea kuishi bila Bajeti Maalumu. Unaweza kumtembelea ndugu yako na ukaa kwake hata miezi 6 pasipokuwa na shughuli ya kufanya, kama ilivyotokea Kwa ndugu zako.

Japo changamoto hii, huwapata ndugu waishio Mijini hasa DSM.

Niliwahi kumtembelea rafiki yangu raia wa Uingereza (Jinsia ya Kike) pasipo kumpa taarifa ya Ujio wangu kwake.

Bahati mbaya nilimkuta anakula chakula cha Usiku (Dinner), yule Binti hakunikaribisha chakula isipokuwa aliniambia ukweli mchungu kwamba sikuwa kwenye Bajeti yake ya Usiku huo maana nimeenda kwake ghafla.

Kwa tabia zetu Wabongo, ukimfanyia mtu hivyo ataenda kukutangaza namna ulivyo Mchoyo na mbinafsi.

Pole na hongera Kwa Ujasiri huo, binafsi siwezi kufanya ulichofanya.

Ndiyo maana nyumbani kwangu nina Chumba maalumu cha Wageni. Ukija utakula na Kulala hadi utakapoaga kuondoka kurudi kwenu.
Uingereza mtu Adisi kuhusu Msosi wakati Asilimia 30 ya chakula ulaya utupwa kikiwa katika hali nzuri ya kuliwa!!.
NACHOJUA MIMI ULAYA HUFI NA NJAA UTAKUFA KWA BARIDI.
SHIDA NI KULALA ILA KULA HAIJAWAI KUWA SHIDA NA MTU HAWEZI KUDISI.
 
Ila hilo tukio la Mzungu ilikuwa ni hapa hapa Bongo...

Limetokea muda mrefu ila lilinipatia somo kuhusu umuhimu wa kumtembelea mtu Kwa appointment pamoja na suala la time management
 
Ndio maana nimeandika natoka nasalimia narudi kwangu dia, sio natoka nakuja kwa watu.....bila shaka umenipata vema😹

Ndugu unataka uje ukae kwangu mwaka, nikupikie maharage unikasirikie unajua kipato changu ungekuja na mafurushi ya nyama 😏😏😏

😹😹😹 nacheka kama mazuri kukaa na ndugu ni kipaji kwakweli
Nakuelewa kabsaaaa....inatakiwa uwe na moyo wa jiwe..
 
Ila hilo tukio la Mzungu ilikuwa ni hapa hapa Bongo...

Limetokea muda mrefu ila lilinipatia somo kuhusu umuhimu wa kumtembelea mtu Kwa appointment pamoja na suala la time management
Nje na Africa ..Mtu anakulilia umkopeshe pesa ya groceries lakini ukienda kitchen kwake Kuna maziwa,mawai, kuku,tambi ndani ya firiji matunda kama yote ila bado ana lia kuwa hana hela ya groceries.
ni ngumu mtu kukudisi kwasababu ya Msosi.
 
Mambo ya ndugu kichefuchefu sana, mie sipendi kero tutembeleane siku moja ya pili kila mtu kwake tofauti na hapo maneno tu na kero
Nimekuelewa, kiukweli ukiwa na wageni unakosa uhuru flani na nyumba yako, ila unazungumziaje watu ambao wanajiweza kiuchumi, Wana biashara kibao, wanaishi kwenye ghorofa, vyumba vya wageni vipo, ila hawataki ndugu hata mmoja awatembelee, hata wale ndugu ambao hawana stress, wa kuja kukaa wiki 2 kwa dharura/ au kusalimia na kuondoka, hawawataki 😁 Evelyn Salt
 
Wiki mbili unasalimia nini hauna kazi za kufanya??? mkuu tulia kwako/kwenu
 
Vijana wengi hawajui namna ya kuishi vizuri ugenini

Ukiishi Kwa watu (ugenini) hakikisha unawahi kuamka na kusaidia kazi za nyumbani mathalani Usafi wa Uwanja/ kunyeshea Maua/ kusaidia kazi za Jikoni n.k

Enzi za utoto wangu nimewahi kuishi Kwa ndugu miezi 2 hivi ama 3, lakini sikuwahi kuchokwa kwasababu nilikuwa najituma kufanya kazi hadi zile wanaita kazi za Kike nilifanya ikiwemo kudeki nyumba/kufagia uwanja kukatia mifugo nyasi n.k

Inapofikia Likizo imeisha ya kurudi Shule, ilikuwa hadi mwenyeji wangu hatamani niondoke maana alikuwa anaona nilivyokuwa nikimsaidia kazi za pale nyumbani
Vijana wengi siku hizi hawataki kazi. Mbaya zaidi hata wazazi wao wakisikia wanafanya kazi hata zile nyepesi husema wamekuwa wajakazi
 
Jamani kutokana na chumi zeru waafrika ndugu ni muhimu sana,tukimbuke savings zetu hazitutoshi kutulisha na kutuvisha tukiwa wagonjwa na wazee na hata kuachia watoto zetu.
Ni hao hao ndugu ukifa ndio watakulelea wanao,ni hao hao ndugu ndio watachanga pesa utibiwe ambapo fedha zako zitakuwa zimekwisha ukiwa hoi kitandani ni hao hao ndugu ukipata majanga watakuokoa.

Tusifananishe maisha yetu ya kiafrika na Ulaya,ambao Population nzima ipo well off,kwa kuwa hatuna fedha nyingi za savings mbeleni-saving tuliyonayo ni hao ndugu.
 
No comment kwa hili ipo siku nitaruji kuongea na naongea hili tu. Dada yangu kaja kutoka kwake huko kutuharibia maisha . Na alipo maliza akahakikisha hilo akaenda kwake kula raha .
 
20240821_081502.jpg
 
Duh
Kapumzike kwenu..... Tena nyie vijana ndo hamna adabu kabisa.

Hivi karibuni kaja mgeni dogo wa chuo, yani kaanza kutmba housegirls wangu tena wote wawili, humu ndani.....kmmakkkeee kilifukuzwa kama nyau
Kalikua kanawapiga 3some au kila mtu anapigwa paipu kwa muda wake
 
Back
Top Bottom