Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Ngumu sana asee halafu we hata uishi na ndugu 20 siku ukiwa juu ya mawe wanaondoka kama nyuki na hawatakaa hata wakusalimie.....

Pia kinachonikeraga kwa ndugu kmamamae zao, wanakuja kuishi wanakula, hawajishughulishi na nyege zao wanataka watoe kwa housegirl. I dislike naona kama kuna siku watahamia kwa watoto na sio kama wanahamiaga kwa watoto
😇😇😁😁😁😁😊😊😊
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Mkuu hongera: Umaskini ni laana, umaskini ni roho ya kishetani, watu maskini ni mzigo kwa familia na taifa, tupa kuleeeeeeee!
 
Tafuta hela, kwa Mbowe wamejaa watu na halalamiki
Sio kwa Mbowe kuna mshua mmoja anaishi na kijiji kabisaa na anajivunia huwa anasema yeye hakupata nafasi ya kushikwa mkono ila hilo halimfanyi kuacha kushika wengine mkono kwa nafasi aliyonayo
 
Omba mungu akupe afya njema vinginevyoo pale muhimbili utajuta kutengana na ndugu

Marafiki watachoka

Mke atachoka

Vimada vitasepa na ngia namba tano

Walevi wenzio watakuona binchwa komwe......

Ndugu ni sehemu ya roho yako hata Mungu analijua hili heshimu ndugu kadri uwezavyo pesa zako hata usipo wapa wataishi mkuu usijidanganye fala wew......
Ndugu gani hao unaosema wewe??
 
Ngumu sana asee halafu we hata uishi na ndugu 20 siku ukiwa juu ya mawe wanaondoka kama nyuki na hawatakaa hata wakusalimie.....

Pia kinachonikeraga kwa ndugu kmamamae zao, wanakuja kuishi wanakula, hawajishughulishi na nyege zao wanataka watoe kwa housegirl. I dislike naona kama kuna siku watahamia kwa watoto na sio kama wanahamiaga kwa watoto
Ndugu ni wanafiki sana
 
Ndio ni ushindi kwangu kuna kipindi mtu umachoka unataka upumzike hata mda wa kupumzika huna kwa kufatilia matatizo ya watu ambayo hayanihusu. Unawasaidia alaf bado wanaenda kukusengenya kwa watu nimeamua kama mbwai na iwe mbwai
Hapo kwemye mbwai kuwa mbwai nakubaliana na wewe kabisa kiongozi 🤝
 
Naishi mwenyewe katika jumba la matope nililojenga hapa kijijini ,Sasa eti kadogo kangu kamewekwa msumari na gujamaa huko chuo ,mama mtu kawaficha ndugu kuwa mwanaye amemimbwa ,Ila kawadanganya eti ametolewa mahari ,Sasa kichekesho kadada kenyewe kamemaliza chuo mwezi Jana ,eti mama mtu anataka nimchukue huyo mdada niishi naye huku ana kitoto kichanga [emoji37]

Hapo kwanza nikajiona naenda kuwa baba kwa mtoto wa mtu mwingine ,kichekesho Cha mwaka Mimi kwenye hustle zangu mama mtu hajawi hata kunijulia hali Sasa nimlee mwanaye na mjukuu wake alafu brother aliyemmimba sister aendelee kula Raha mjini ?

Nilikza nikarukaruka weee mwisho wakajitoa ,Sasa hivi hawanipigii hata simu Ila nashukuru tu maana siko tayari kuwa donor wa ndugu hawanaga shukrani hawa ,Bora hata ndugu baki tu
Ndugu wa afadhari bi yule wa tumbo 1,mi kuna dogo mtoto wa ba mdogo nimechukua akiwa f2 nimekaa nae kamaliza f4 tu kabadirka hata home anaweza kata miezi 4 hakanyagi na tunaishi jirani utamuona tubwatu baki anawasaidia hadi kazi ila kwetubhawezi fika but akitingwa sana kama kuishiwa chakula lazima aje hime kuomba vyakula,hapa nilipo nilishabadirika sana siwezi ishibna ndugu#LITAKALO NA LIWE TU
 
wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.
Subiri likukute jambo la kuwa tegemezi mfano maradhi, ulemavu au umasikini baada ya kufilisika au kufungwa jela utaomba utembelewe na ndugu au ndugu wakuchukue wakunze.
Sema ukweli ni kuwa wageni wakizidi unakosa Uhuru kwenye kila jambo nyumbani kwako.
 
Ndugu wa afadhari bi yule wa tumbo 1,mi kuna dogo mtoto wa ba mdogo nimechukua akiwa f2 nimekaa nae kamaliza f4 tu kabadirka hata home anaweza kata miezi 4 hakanyagi na tunaishi jirani utamuona tubwatu baki anawasaidia hadi kazi ila kwetubhawezi fika but akitingwa sana kama kuishiwa chakula lazima aje hime kuomba vyakula,hapa nilipo nilishabadirika sana siwezi ishibna ndugu#LITAKALO NA LIWE TU
Siku ukafariki hao ndo wa kuchimba kabri lako na jenaza lako hao ndugu hao usiwahukumu kwa mambo madogo ndugu ni ndugu siku zote.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Sasa kati ya wewe na ndugu nani nyoka,yaani ukiwa na akili zako timamu unakimbia mji wako kwa sababu ya ndugu?

We ni Me au Ke? Weka msimammo na mipaka juu ya maisha yako,ishi maisha unayotaka bila kujali

Usikubali kutawaliwa wala kuyakimbia maisha yako kwa sababu ya ndugu

Man up
 
Mbona wakati wana changia ada zako uende shule hukulalamika, acha ubinafsi wa kijinga heshimu ndugu zako.....nyie mkipata vipesa kdgo kupita ndugu zenu mnaona ndugu ni washenzi sijui nyie watu wa mikoani mko je buana.
Amekuambia kuwa waliwahi kumchangia ...!!!
 
Umechukua uamuzi ambao wengi hatuuwezi.

Unajua Africa tumezoea kuishi bila Bajeti Maalumu. Unaweza kumtembelea ndugu yako na ukaa kwake hata miezi 6 pasipokuwa na shughuli ya kufanya, kama ilivyotokea Kwa ndugu zako.

Japo changamoto hii, huwapata ndugu waishio Mijini hasa DSM.

Niliwahi kumtembelea rafiki yangu raia wa Uingereza (Jinsia ya Kike) pasipo kumpa taarifa ya Ujio wangu kwake.

Bahati mbaya nilimkuta anakula chakula cha Usiku (Dinner), yule Binti hakunikaribisha chakula isipokuwa aliniambia ukweli mchungu kwamba sikuwa kwenye Bajeti yake ya Usiku huo maana nimeenda kwake ghafla.

Kwa tabia zetu Wabongo, ukimfanyia mtu hivyo ataenda kukutangaza namna ulivyo Mchoyo na mbinafsi.

Pole na hongera Kwa Ujasiri huo, binafsi siwezi kufanya ulichofanya.

Ndiyo maana nyumbani kwangu nina Chumba maalumu cha Wageni. Ukija utakula na Kulala hadi utakapoaga kuondoka kurudi kwenu.
Grahams naamini kwenye kaya za wazungu kitu kinachoitwa chumba cha wageni
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Safi sana umekosea tu kuhama ungetimua wote ukabaki kwako.Hapa duniani ni mungu,uzima na pesa tu,kama haupo na pesa kuwa na mungu kama haupo na mungu kuwa na pesa.Ndugu waje kusalimia na kusepa.
 
Back
Top Bottom