Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Pole sana, lakini huo sio ushindi bali huko ni kupumzika tu...utakimbia nyumba zako ngapi rafiki, lazima ujue unasimamia wapi, kuwa moto au baridi, tatizo halikimbiwi bali hutafutiwa ufumbuzi Kwa kutumia akili yako maridhawa uliyopewa, shirikisha watu unaowaamini Ili kupata mawazo mbadala.
 
umejikomoa mwenyewe mkuu, hiyo kodi unayolipa huko inatosha kuwanunulia box la pempas na kuwapa nauli ya kurudi kwao, yaani ukimbie nyumba yako mwenyewe, uliyojenga kwa nguvu zako kisa ndugu? labda kama unachangamsha genge tu ili mchana upite
Hahahaha
 
Mbona kawaida sana mzee.

Baadae kodi ikiisha huko si atarudi kwake tuu kwan si kukodisha anaweza rudi muda wowote, plus kakwepa lawama chungu mzima.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Ni roho mbaya tu
 
Mimi ni mtu mwaminifu sana na na najitahidi sana kuwa mkweli muda wote

Nimesoma uzi wote na nimekaa nimetafakari kwa kina juu ya kile kilichoandikwa hapo juu.

Niseme tu jambo moja bila kuogopa wala kupepesa macho, sina cha kusema kwa leo.
 
Ndio maana nimeandika natoka nasalimia narudi kwangu dia, sio natoka nakuja kwa watu.....bila shaka umenipata vema😹

Ndugu unataka uje ukae kwangu mwaka, nikupikie maharage unikasirikie unajua kipato changu ungekuja na mafurushi ya nyama 😏😏😏

😹😹😹 nacheka kama mazuri kukaa na ndugu ni kipaji kwakweli
Mm hapo kwenye kukasirikiana na kutangazana vibaya ndio panaponifanya mda mwngine niwe namawazo kama yako.
 
umejikomoa mwenyewe mkuu, hiyo kodi unayolipa huko inatosha kuwanunulia box la pempas na kuwapa nauli ya kurudi kwao, yaani ukimbie nyumba yako mwenyewe, uliyojenga kwa nguvu zako kisa ndugu? labda kama unachangamsha genge tu ili mchana upite

Kodi analipa kutoka kodi anayopata... Tena atakuwa anabaki na chenji
 
Ndugu anatakiwa aje na plan baada ya siku tatu tunajadiliana vizuri mipango yake ni nn Kisha nampa fact kuwa kazi ndio kipaumbele mda wa kula na kugalagala Amna ikiwezekana na chumba anayolala anaweza toa pesa kidogo , ghalama za chakula na mengineyo.

Hizi mambo nazielewa nakumbuka miaka hiyo nyumbani walikuwa wanakuja watu hadi wanafikia 18 ukicheki matumizi hadi sio poa kilo 5 za Mchele na unga zinakata mlo mmoja alafu watu wapo tu wao ni kuoga na kujipaka mafuta na kuulizia tunapika nn .
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua Itoshe kusemz, hujakomaa
 
Endelea kuota mkuu huenda ukajenga nyumba ukiwa ndotoni.

Hakuna mtu mwenye nyumba ataandika hiki ulichoandika. Pambana mkuu utajenga tu.

Ukute wewe ndiyo ulikiwa kwa ndugu tena ukahamia na familia yako hivyo ndugu amekuchoka hujiongezi ndiyo kakupa kodi ya miezi miwili ukapange chumba huku ukiendelea kutafuta kodi inayofuata.
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Sawa.
 
Back
Top Bottom