Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Ni kweli lakini, wazee wetu waliishi na ndugu wengi tu na maisha yalienda, je mkeo amekuchukuliaje?
 
Omba mungu akupe afya njema vinginevyoo pale muhimbili utajuta kutengana na ndugu

Marafiki watachoka

Mke atachoka

Vimada vitasepa na ngia namba tano

Walevi wenzio watakuona binchwa komwe......

Ndugu ni sehemu ya roho yako hata Mungu analijua hili heshimu ndugu kadri uwezavyo pesa zako hata usipo wapa wataishi mkuu usijidanganye fala wew......
Huwajui ndugu wewe kaa kimya, hakuna ndugu ambae atakuuguza ukiwa mahututi. Jitahidi sana ujenge familia yako yenye upendo thabiti hao ndo watakuja kua ndugu zako
 
Nimesomeshwa na wajomba. Wajomba hawanisumbui kwa lolote wapo na maisha yao na wala hawalalamiki. Njoo sasa upande wa kwa baba, walitutelekeza mzee alipofariki hawakutujua kwa heri wala kwa shari leo Mungu ameonesha njia kila siku simu kila siku ugeni usioisha wakiwa na matatizo kiafya wanakuja niwauguze, wao hawanunui hata panadol. Kumbuka hawa ni watu ambao hawakutujali kwa lolote ukiwapigia simu walikua wanatoa ahadi ukipiga tena simu siku aliyoahidi hawapokei simu!
Wajomba ni ndugu
 
Hili tatizo linawakumba sana familia ambazo hazijajipata.Unakuta dar ni ndugu mmoja kajenga basi wakitoka huko kisokokwinyo moja kwa moja wanatimba kwako ila kama kwenye ukoo mmejenga hata watu kumi ama watano dar shida kama hizo unazisikia tu.Maana mgeni akija anakaa siku kadhaa kwako kesho kaenda kwa bro mara yuko kwa jombi basi hakuna kero.Tutafuteni pesa tuone wageni ni baraka sio kero.
 
Huwajui ndugu wewe kaa kimya, hakuna ndugu ambae atakuuguza ukiwa mahututi. Jitahidi sana ujenge familia yako yenye upendo thabiti hao ndo watakuja kua ndugu zako
Mke hukimbia ukiumwa haswa,amini,ni watoto wa kaka,dada,mjomba, shangazi ndiyo watachezea mavi yako wakati hujiwezi
 
Sasa ww hutaki watu waje kwako halafu utoke huko kisiwani uje umtembelee nani..
Kwako Eva solti....😀😀😀
Kila mtu akae kwake
Ndio maana nimeandika natoka nasalimia narudi kwangu dia, sio natoka nakuja kwa watu.....bila shaka umenipata vema😹

Ndugu unataka uje ukae kwangu mwaka, nikupikie maharage unikasirikie unajua kipato changu ungekuja na mafurushi ya nyama 😏😏😏

😹😹😹 nacheka kama mazuri kukaa na ndugu ni kipaji kwakweli
 
Wazazi wako walikaa sana kea ndugu
 
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.

Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.

Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?

Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.

Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Nyie wandugu ni kabila gani
 
Chai
 
Omba mungu akupe afya njema vinginevyoo pale muhimbili utajuta kutengana na ndugu

Marafiki watachoka

Mke atachoka

Vimada vitasepa na ngia namba tano

Walevi wenzio watakuona binchwa komwe......

Ndugu ni sehemu ya roho yako hata Mungu analijua hili heshimu ndugu kadri uwezavyo pesa zako hata usipo wapa wataishi mkuu usijidanganye fala wew......
Umemchana ukweli.....mtu ni maskini ndugu zake maskini sana. Anatudanganya amepanga Nyumba ya Laki tatu

😆😆😆
 
Back
Top Bottom