Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,941
- 168,765
Yuko wapi huyu.....😹Bro, namba yake unayo.
Mpigie umpongeze.
Yuko wapi huyu.....😹Bro, namba yake unayo.
Mpigie umpongeze.
Sometimes wanazingua, mi nilirukaga enzi hizo, yani kuna ndugu ye kazi yake ilikua anawapigia watu simu ili atugawie watoto anao sijui 7.....Mungu alinipigania mwezi Jana ,yalitaka kunikuta Ila niliruka viunzi kisawa sawa
umsomeshe kwa gharama za nani?Sometimes wanazingua, mi nilirukaga enzi hizo, yani kuna ndugu ye kazi yake ilikua anawapigia watu simu ili atugawie watoto anao sijui 7.....
Anapiga huku anaomba, naomba umchukue flani ili asome anakataliwa, anapiga kwingine....bahati mbaya tulikua tunasimuliana
Ndo nimeajiriwa hata godoro tu sijanunua kishanitwangia naomba umchukue flani, nikaruka kwakweli. Huku ni kutafuta lawama kwa nguvu
Ngumu sana asee halafu we hata uishi na ndugu 20 siku ukiwa juu ya mawe wanaondoka kama nyuki na hawatakaa hata wakusalimie.....Mifumo ya maisha ya wa-Afrika ni ngumu Sana kuielewa.
Ubepari uko wazi kwamba familia ni baba, mama, na watoto, Yaani nuclear family system. Nothing more nothing less.
Naishi mwenyewe katika jumba la matope nililojenga hapa kijijini ,Sasa eti kadogo kangu kamewekwa msumari na gujamaa huko chuo ,mama mtu kawaficha ndugu kuwa mwanaye amemimbwa ,Ila kawadanganya eti ametolewa mahari ,Sasa kichekesho kadada kenyewe kamemaliza chuo mwezi Jana ,eti mama mtu anataka nimchukue huyo mdada niishi naye huku ana kitoto kichanga 😖Sometimes wanazingua, mi nilirukaga enzi hizo, yani kuna ndugu ye kazi yake ilikua anawapigia watu simu ili atugawie watoto anao sijui 7.....
Anapiga huku anaomba, naomba umchukue flani ili asome anakataliwa, anapiga kwingine....bahati mbaya tulikua tunasimuliana
Ndo nimeajiriwa hata godoro tu sijanunua kishanitwangia naomba umchukue flani, nikaruka kwakweli. Huku ni kutafuta lawama kwa nguvu
Ndio mtego wenyewe huo, utamchukua mtoto atalipa ada kidogo anaanza kuingia mitini.....kifuatacho ni maneno dada ake alimchukuaga akashindwa kumsomesha akamfanya housegirl, sikutaka kabisa huu ujinga.umsomeshe kwa gharama za nani?
Nimesomeshwa na wajomba. Wajomba hawanisumbui kwa lolote wapo na maisha yao na wala hawalalamiki. Njoo sasa upande wa kwa baba, walitutelekeza mzee alipofariki hawakutujua kwa heri wala kwa shari leo Mungu ameonesha njia kila siku simu kila siku ugeni usioisha wakiwa na matatizo kiafya wanakuja niwauguze, wao hawanunui hata panadol. Kumbuka hawa ni watu ambao hawakutujali kwa lolote ukiwapigia simu walikua wanatoa ahadi ukipiga tena simu siku aliyoahidi hawapokei simu!Mbona wakati wana changia ada zako uende shule hukulalamika, acha ubinafsi wa kijinga heshimu ndugu zako.....nyie mkipata vipesa kdgo kupita ndugu zenu mnaona ndugu ni washenzi sijui nyie watu wa mikoani mko je buana.
unakimbia resources za kazi.Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.
Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.
Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?
Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.
Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
M pesa mkuuNikutumie pesa ya bia kwa namba gani?
Mm nishawaambia kabisa kajumba kangu kakikamilika mwakani, ndugu kuja mpaka watume barua za maombi kupitia serikali ya mtaaMifumo ya maisha ya wa-Afrika ni ngumu Sana kuielewa.
Ubepari uko wazi kwamba familia ni baba, mama, na watoto, Yaani nuclear family system. Nothing more nothing less.
Kama ni msukuma nakuona ukiitwa kupigwa viboko kwenuMm nishawaambia kabisa kajumba kangu kakikamilika mwakani, ndugu kuja mpaka watume barua za maombi kupitia serikali ya mtaa
Piga domo humu mkuu ila usiombe yakukute. btw pesa ya kodi inatoka kwenye nyumba yangu na inabakiumejikomoa mwenyewe mkuu, hiyo kodi unayolipa huko inatosha kuwanunulia box la pempas na kuwapa nauli ya kurudi kwao, yaani ukimbie nyumba yako mwenyewe, uliyojenga kwa nguvu zako kisa ndugu? labda kama unachangamsha genge tu ili mchana upite
Hawanaga shukrani wala jema, kila kitu kwao ni kibaya.......Naishi mwenyewe katika jumba la matope nililojenga hapa kijijini ,Sasa eti kadogo kangu kamewekwa msumari na gujamaa huko chuo ,mama mtu kawaficha ndugu kuwa mwanaye amemimbwa ,Ila kawadanganya eti ametolewa mahari ,Sasa kichekesho kadada kenyewe kamemaliza chuo mwezi Jana ,eti mama mtu anataka nimchukue huyo mdada niishi naye huku ana kitoto kichanga 😖
Hapo kwanza nikajiona naenda kuwa baba kwa mtoto wa mtu mwingine ,kichekesho Cha mwaka Mimi kwenye hustle zangu mama mtu hajawi hata kunijulia hali Sasa nimlee mwanaye na mjukuu wake alafu brother aliyemmimba sister aendelee kula Raha mjini ?
Nilikza nikarukaruka weee mwisho wakajitoa ,Sasa hivi hawanipigii hata simu Ila nashukuru tu maana siko tayari kuwa donor wa ndugu hawanaga shukrani hawa ,Bora hata ndugu baki tu
Kwq nn mkuu ndugu jau sna ukiwq na chako Chao ukiwq huna huwaoniKama ni msukuma nakuona ukiitwa kupigwa viboko kwenu
Sasa watoto saba wote aliwazaa wa nini huku akijua hawezi kuwagharamia. Kweli ubaya ubwelaSometimes wanazingua, mi nilirukaga enzi hizo, yani kuna ndugu ye kazi yake ilikua anawapigia watu simu ili atugawie watoto anao sijui 7.....
Anapiga huku anaomba, naomba umchukue flani ili asome anakataliwa, anapiga kwingine....bahati mbaya tulikua tunasimuliana
Ndo nimeajiriwa hata godoro tu sijanunua kishanitwangia naomba umchukue flani, nikaruka kwakweli. Huku ni kutafuta lawama kwa nguvu
Utakua mnyamwezi wewe.Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.
Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya baada ya nyumba kujaa ndugu hadi nikawa sina amani na nyumba yangu. Ndugu wanakuja kukaa miezi alaf hawachangii chochote wananitegemea mie kwa kila kitu hadi nepi za watoto wao kama mie ndo niliwazaa.
Nikaona isiwe shida nimetafuta sehem nimepanga kachumba kamoja na kasebule kadogo niwakomoe. Kwa maisha ya sasa unaendaje kwa mtu unakaa miezi huna shughuli za kufanya?
Ninewakomoa toka nihamie huku hakuna ndugu anayenipigia simu hata kuniuliza hali yangu asa sijui wamenifuta undugu 😂😂 anyways bora wasinitafute maisha bila ya ndugu ni matam sana kwa wiki hizi 3 naona kama vile nipo peponi.
Najipongeza kwa uamuzi niliochukua lakin pia najilaumu kwa kuchelewa kuchukua uamuzi huu.
Sisi waafrica ni tatizo kwakweli, yani unakua na timu yako afu unawaza utawagawia watu wakusomesheeSasa watoto saba wote aliwazaa wa nini huku akijua hawezi kuwagharamia. Kweli ubaya ubwela