Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Unaweza kuta sio kaka yako. Mimi nikikutana na mwanamke ambaye hata tunatoka mkoa m'moja vinyweleo vinasimama machale ya undugu yananiambia nimdadisi..
Unaweza kuta mwamba ni mimba ya kubambika. Wanaume huwa hawavutiwi na ndugu yake au mtoto wake huwa ni ngumu labda arogwe.

Ukisikia kesi za baba kulala na binti yake au watoto kurukiana. Mtazame mama mtu usoni yupo kwenye hali gani. Wengi huwa wanakuwa na sura ya aibu.

Unakuta mimba sio ya baba anaeishi nae. Ikijatokea baba kamuingilia binti na binti hajabakwa amekubali fresh wameanza kukulana,wanaokuja kushangaa ni watu wa nje wanaojua huyu ni baba na binti yake iwaje wanakulana.

Kumbe maza alibambikia mimba na mtoto deep inside kajua huyu sio baba yangu mzazi na baba kajua huyu sio binti yangu nimeletewa mke na mke wangu.

Chunguza hizi kesi nyingi huwa watu wanazitazama juu juu. Watoto kukulana unakuta damu na machale yameshawaambia nyie sio ndugu.
Lakini huyu kaka yangu kuna namna kidogo kama.anafanana fanana na mzee hivi, na hiyo siku ya tukio alikuwa kama ana kauoga flani hivi
 
Bora alijaribisha make kama angeamua kuyaheshimu hayo makubaliano yenu ungeenda kumsema ofcn et jogoo wake hapandi
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Hapa soda Haina gesi wameshakuvunja
 
Pumbafu zako, umezingua
 
Story yako inatuacha wasomaji na maswali mengi,
Unasema ulivaa t.shirt oversized, ila hujatueleza ndani yake ulivaa chupi au vp, then unasema tena saa nane umestuka unaona umeshikwa tako, sasa ulivyostuka hiyo saa nane ulianza kuangalia muda, au kutoa mkono uliokua uko kwenye tako,afu ndo ukaangalia kuwa ni saa ngapi 🤔
Ni umalaya tu hakuna kingine. Sasa mtu ukubali kulala nae kitanda kimoja,umvalie over sized t-shirt na chupi, na pengine hakuvaa hata chupi yenyewe, halafu una mind jamaa kukubambia kiuno na kusema amekukosea.

Kama sio bangi iliyovutiwa kwenye store ya ugoro sijui ni nini aisee.
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
😂😂😂😂 wew ungetoa mzigo kwanza jamaa achape . Kwa sababu mtu mzima kbs mweny akili zake awez fanys huo ujinga kamwe wa kulala na mwanaume eti kupinguza gharama
 
Hapana mkuu, nilikuwa bado mdogo nakumbuka ilikuwa form 2, ilikuwa nikitoka shule ndiyo napitia kumsalimia au weekend naenda na sikuwa navaa nguo za mitego
aaah nakumbuka si ndo yule ulisemaga ni kaka ako ambaye ni mtoto wa nje ya ndoa wa mdingi wako, vipi sikuhiz mkikutana bro anaweza kukuface?
 
Ndo maana wanasema mwanamke kufanya kazi ni sawa na kupanda shamba la miwa karibu na shule.
 
aaah nakumbuka si ndo yule ulisemaga ni kaka ako ambaye ni mtoto wa nje ya ndoa wa mdingi wako, vipi sikuhiz mkikutana bro anaweza kukuface?
Nakumbuka tangu hilo tukio hatukuwahi kuonana na siku hizi kahama alipokuwa anakaa hata mawasiliano yake hatuna sijui yupo Moro huko nasikia
 
Japo Ni Chai Ila Huyo jamaa hana mbinu za Kijasumbususu..

Yaani ingekuwa mie kuna mawili ungesema asubuhi

1. Ulikuwa unanipenda siku nyingi tuu sema kwa kuwa mwanamke huwezi kuniambia

2. Shetani kakupitia.
Kuna madem wengine kavu sana mkuu, unaiona hii hapa lkn hulambi ng'o!
 
FB_IMG_1754251063835.jpg

Dear gambe
 
Back
Top Bottom