Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Ukiendelea nae atakula mzigo uo
 
Vijana wa Sasa hovyo sana Lisu yupo gerezani anapigania nchi, weye unaleta ujinga hapa Jf na stori zako za udaku...changamka Binti nchi inauzwa utauzwa na wewe ...ohoooo!
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Alivyosema I am sorry ilitakiwa uweke condition,lakini pia ungekubali kiheshima sababu kila mtu atakushangaa umeingia gharama za kijinga wakati ungesave ukanunua hata shamba,
Niliwasindikiza wazungu na gari ya ofisi kwa maeleza ya kuwaacha Moro,lakini then nikagumdua walikuwa pamoja na hakuna kitu mbaya wamefanya na kufika DSM kila mmoja alienda zake kivyake,na nikasema huyu ni travel partner,na wewe ilitakiwa umwambie wewe ni travel partner not sex partner,any way umetumia nguvu nyingi hata ungekulana nae Sio big deal. Life is short,ilitakiwa ulane nae Ile siku ya mwisho,hata kama inawasha mtafute mmalize kila kitu,huna kitu cha kupoteza,jogoo lako Hilo.
Umesema rafiki wa kazini
 
Mumeo uliniomba pesa ya malazi na chakula kipindi chote utakachokua training nikakupa, kumbe ukashare room na mwanaume sijapenda.
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Fanya kama hakijatokea kitu..ongea nae piga story , usimtangazee,sawa

Jamaa alikua anatest kimasiala imebumaa

Vipi angeweka dau still ungenyima ???
 
Jamaa akatoka bafuni uchi mimi nikiwa nimevaa Tshirt ndefu..... Akanishika makalio...

Uzuri JF kuna VAR zimekataa.
Unatuona sisi ******* sana.
download (12).jpeg
 
Mnapewa hela ofisini mkifika huko mnalala mwanaume kwa mwanaume, shauri zako
 
Back
Top Bottom