Wewe ni Ke au Me?Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Kuomba ni feeling au tamaa tu za mtu,Kwamba wewe hata ukilala na rafiki yako wa kike huwezi kumuomba?
Hapana mkuu, nilikuwa bado mdogo nakumbuka ilikuwa form 2, ilikuwa nikitoka shule ndiyo napitia kumsalimia au weekend naenda na sikuwa navaa nguo za mitegoUkute ulikua unavaa vinguo vya kimtego
Tatizo amezidisha sukari imekua Sio chai tena ni asali🤓🤓🤓Na wewe umeamini hii Chai Maziwa
Sasa wanaume mlio wengi mkishakuwa chumbani na mwanamke mnaweka uhakika wa kumla na hadi kutaka kulazimisha. Hiyo ndiyo shida yenuKuomba ni feeling au tamaa tu za mtu,
It's all starts with mindset,kuomba na kutaka kubaka ni vitu viwili tofauti,unaweza kuomba kabla ila usichukulie advantage kisa upo nae chumbani,pia unatakiwa kuheshimu maamuzi yake.
Hivi kwanini huwa mna fikra hasi hivi?Tafsiri yake ni kwamba mpaka kufka kukubali kulala room moja umelikubari kuliwa..
Sema jamaa hakukaza tu akawahi kuomba msamaha, ulimkazia tu kishngo upande asijione amekula tunda kimasihara.
Ujue me na ke huwa hamnaga urafki
Hao sio wanaume,ni wavulana,unatakiwa kuijua hiyo tofauti iliyopo.Sasa wanaume mlio wengi mkishakuwa chumbani na mwanamke mnaweka uhakika wa kumla na hadi kutaka kulazimisha. Hiyo ndiyo shida yenu
Kaka yangu aliyetaka kunibaka alikuwa na miaka 30 na je na yeye ni mvulana si mwanaume?Hao sio wanaume,ni wavulana,unatakiwa kuijua hiyo tofauti iliyopo.
Matatizo mengine yakujitakia kabisaUbahili tu kwani hela ya seminar hamkupewa?eti bajet sasa hako ka 20tsh katamaliza shida zako?
Duh 🤣🤣🤣Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Huyu Member anapitia kipindi kigumu sana kihisia![]()
Nimeombwa namba na sijatafutwa hadi mida hii
Jana nimekutana na uyo mwanaume kwenye mishe za mjini, nikapenda the way he is , kwa bahati Nzuri akaniuliza my name na akaomba na my number. Sasa cha kushangaza mpaka saa hizi hajanitafuta Shida ni nini?www.jamiiforums.com