Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Duh! Huyo rafiki yako atakuwa Fisi mla nyasi!
 
Huyo jamaa yako atakuwa ana mkono wa mtoto au kibamia nawewe inawezekana una maumbile ambayo hayaendani nae mfano Kibamia na Bwawa!
 
Kitendo TU cha kukubali kulala NAE na huo utu uzima WOTE ni jinsi GANI una kaumalaya ka mbali mwanamke anaejiheshimu hawezi FANYA hivo unge PIGWA picha ikasambazwa mitandaoni huoni kama lingekua jeraha la kudumu mkuu. Shukuru SANA HUYO JAMAA boya au hakutaka TU YANI CHUMBA kimoja usiku hahahaaaa HAPO unaliwa hata kwa nguvu mkuu

Kwishaaaa
 
Hao sio wanaume,ni wavulana,unatakiwa kuijua hiyo tofauti iliyopo.
Acha unafiki. Kwamba wewe ungekuwa hapo chumbani angekupa ungekataa kwasababu we ni gentleman?😂😂😂. Mtizame acha U'simp.
 
Attachments

  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    7.6 KB · Views: 17
Wewe uuawe tu maana huna faida... Ningekua mimi ni heri tuumizane lakini nihakikishe nimekukula 😏
 
Mjionee wenyewe hawa viumbe akili zao. Hii ndio aina ya maisha wanayopenda. Kuchezeana akili na hisia na kupoteza muda.

Sasa wewe unajua kabisa huyo ni mwanaume,unakwenda kulala nae chumba kimoja then hautaki huyo mwanaume akuguse, unatakiwa kuwa mwendawazimu kuwa hivi mana hata mtoto mdogo hawezi kuwa na akili za kipuuzi hivi.

Mimi uniletee upuuzi kama huu naondoka usiku huo huo ulale mwenyewe ubakwe na vibwengo. Yaani kwa hiyari yako umetaka kulala na mwanaume chumba kimoja,ila kufanya nae mapenzi unaleta ufala.

Huu ni ujinga na kukosa akili.
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Duh...
 
Ungempa tu kidude hicho ...(utani tu lakini)😂😂😂
 
Una tabia mbaya

Una tabia mbaya dada.Una roho ya uzinzi? ni vile ulijua jamaa atasema analipa yeye chumba ili wewe usave.Uliposhituka kwamba ni kweli mnashea kulipa chumba ukageuza mpango
 
Mbuzi akikubali kushea zizi moja na fisi anakuwa amehiyari kuliwa na fisi.
 
Back
Top Bottom