Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Japo Ni Chai Ila Huyo jamaa hana mbinu za Kijasumbususu..

Yaani ingekuwa mie kuna mawili ungesema asubuhi

1. Ulikuwa unanipenda siku nyingi tuu sema kwa kuwa mwanamke huwezi kuniambia

2. Shetani kakupitia.
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Mnunie tu huyo, mwambie hujapenda.
 
Chai chapati 2

Chai chapati 2.jpg
 
Back
Top Bottom