Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,509
- 830,005
Dina..Taja jina uzi uchamgamke

Dina..Taja jina uzi uchamgamke

Ila swali lako!😁Na ukaamini?😂
AbeeeDina..![]()
Bila picha Mkuu?Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.
Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha!
Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.
My future wife please rudi.
MekumissssssAbeee

Mim piaMekumissssss![]()
Mim pia
Taja jina uzi uchamgamke
Sema love is blindmpaka naposti kwenye public ujue ni mwanamke wa kipekee na nimemwelewa zaidi dunia nzima itambue love is real
Hata sijaelewa yani
Kama nikijiachia usiku nitakua sawa.Ndivyo ulivyo danganywa hivyomasikin weee
![]()
Jiachie tu kwani sh ngapi????kama nikijiachia usiku nitakua sawa.
![]()
![]()
![]()
dea![]()
Naamini Amekusikia Mkuu.
nimecheka mno, addiction km addiction uwiiiiiiih
Kwani umekua fisinimecheka kwa sauti dea Uwiiiiii
Mamacita!Taja jina uzi uchamgamke