Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nani akubali elimu ya kupotoshwa tukubali tu hakuna mazazwa humu kama waamuni wa manabii kiboko ya wachawi tulubali tu humu spana utakula tu tunataka fact unaleta janja janja 😁Majini waongo hata Arsis muongo tu sheytwan wa Kijini😁
 
Yaani wewe umemzidi huyo so Called Arsis 😀alofungwq kwenye chupa miaka 925 alokuwa enzi sijui za Basis hawezi kuelezea japo kama ulivyo elezea 😁na akilelezea havieleweki utata mtupu ni muongo mpotoshaji.
Simba; Au umekasirika kuambiwa Sheikh wako hana elimu ya kutosha?

Atrsis ana elimu kubwa sana, kupita maelezo, iteni wasomi, sio sisi. Hatumuwezi kielimu.

Hivi ndugu yako alijibu maswali alioulizwa?
Simba.
 
Simba; Au umekasirika kuambiwa Sheikh wako hana elimu ya kutosha?

Atrsis ana elimu kubwa sana, kupita maelezo, iteni wasomi, sio sisi. Hatumuwezi kielimu.

Hivi ndugu yako alijibu maswali alioulizwa?
Simba.
mzee kisa cha unguja vipi.tunachoka hapa.
 
Arsis: Sikusema Ulimwengu nimesema dunia au ardhi, zipo saba pamoja hii tuliopo sasa.

Halafu English, toa hio s kwenye unknown, iweke kwenye creature. lakini ingependezaa zaidi ungeandika "creation badala ya creature.

Dunia zote zina support life zote.
Arsis.
 
Simba; Weka post namba ngapi, utajibiwa.
Simba.
Naomba kuuliza kuna Ukoo utakuta hauna mwenye mafanikio hasa kiuchumi, unatumia nguvu kubwa sana kutafuta ilà huendi mbele, maelewano pia hakuna ,je ni mizimu imekasirika au agano fulani la mabàbu au Mungu ndio kapanga hivyo.

Naomba nihamie ukòo wa simba kama inawezekana..
 
Arsis; Kibubusa umesema wewe sio mimi. mimi nimerudia tu hilo neno, rudi ukajikumbushe.

Mimi nilikuahidi nitakuja kukupa darsa ya aya zako ulizoweka.

Adam si tumemaliza, umekiri kua Qur'an haikuelezea? Au umesahau? Ukaja na hadith, hujasema ya nani au ni yako mwenyewe?.

1; hakuna aya niliosema siielewi.
2. Hakuna mahali nimesema maelezo yako ya kibiubusa, usitie maneno yako kwenye maandiko yangu. Y))Tafdhali, niliandika aya nitakuja kukufundisha, hazionh)gelei Adam kua mtu wa kwanza,
3. jazaba unaleta mpaja unasahau maneno ulioandika wewe, unasema yangu. Nakushaauri kanisome tena.
Arsis.
 
Akili ni nini kwa mujibu wa Qur'an?
 
Arsis; Ufafanuzi wake ni kua Adam hajatajwa kua ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an. Labda kwengine.
Arsis.
Una kichwa kizito..

Mbona katajwa Al baqarah (30-31)
[/QUOTE]

Arsis: Mbona tena unaanza kua mganaga wa kichwa? YTuwe na kauli za kielimu hapa hakijadiliwi kichwa changu wala chako. Labda chngu kizito kwa kua kina mengi sana, Vipi chako, chepesi?

Adam katajwa sehemu nyingi kwenye Qur'an sio hapo tu, hapo hapajasema kua ni mtu wa kwanza, pasome vizuri.

Kwa kukuzidiishia maarifa, anza kusoma aya ya 26 mpoaka ulipofikia au endelea zaidi unaweza kuelewa kitu kipya. Bila kufata tafsiri za watu, zinatofautiana.
Arsis.
 
Dhahiri shahiri boss,hapa tumepigwa
Simba; Umepoigwa au elimu ya Arsis inakuchanganya? Huyo ndio Arsis.

Sijaona mkijibu swali lake la Adam isipokua mmoja tu kakiri kua Qur'an haijaelezea. Vipi wewe unajua ilipoelezea kua ni mtu wa kwanza. Hawa umemtoa wapi? Mimi na ubishi wangu hilo sijalipata mpaka aliponifundisha yeye ;lilipopatikana.

aArsis anasema, adam ni wengi sana. Unakubali hilo au unakataa?
Simba.
 
Arsis; Ndio nimemuona. Watu wengi sana wanamuona. Hata ukimuota ujue umemuona yeye kweli, hawezi Shetani kuja kwa umbo lake kwenye ndoto.
Simba.
Umbo lake unalijuaje kama kuna mahali kwenye Quran wamedescribe anaonekaje??
 
NAUUNGA HOJA YAKO 100% ! UNAMFUATA PM ANAKUAMBIA UJE ULIZE KWENYE UZI WAKE NA UKIULIZA ANAKUPOTEZEA KAMA HAJAONA ! KAMA HAWEZI KUPITIA KILA POST YA MTU IWEJE ALAZIMISHE KULIZA HAPA KWENYE UZI WAKE? MIONGONI MWA MASWALI NINYOJIULIZA.
KAMA KWELI UMEAMUA KUJA HAPA KUSAIDIA NA KUTOA ELIMU BASI USIBAGUE WAKUWAJIBU NA HATA TUNAOKUJA PM TUZINGATIWE SYO KILA MTU ANAPENDA KUANIKA MATATIZO YAKE HAPA. ILA WEWE MLEDA STORI NA ARSIS WAKO MKO HAPA KUWAZIHAKI WATU NA MATATIZO YAO!
 
Arsis; Hilo la kwanza nakubaliana na wewe 100%

La pili gunaogelea ni adam kua ni mtu wa kwanza dunini, hili liko wapi kwenye Qur'an? Na hawa mmemtoa wapi?

Hiyo "amiliana na Masheytwan" ndio nini maa yake?

Msiba kweli kwa wasio na elimu na hataki kufundishwa wala kujinza. Waislam hatutakiwi kabisa kua na elimu kipofu. Tunatakiwa tuhoji, tusome tuelewe kila kitu kitukinaishe. Au sivyo?

Tunnajinza kupitia Qur'an, kama hatuelewi kitu tuulize wenye kujua. Nikupe aya, au umekubali hili?
Arsis.
 
Simba; Kutumia maandishi makubwa kwenye kuandika ni kufanhya matangazo, kama unaniuliza au kunieleza mimi hauna haja ya kuandika kwa herufi kiubwa ka huyo uliemjibu.

Habaguliwi mtu wala jini hapa. Uliza kwa kutumia herufi ndogo, usomeke vizuri.
Simba.
 
Wote tuko sawa kivipimo. Pia kwa ushauri wako huo sisi sio waislam. Hakuna tiba kwa mujibu wa Arsis ambayo ni mbadala wa hizi za hospitali? Pia tueleze kuhusu hiyo invitro fertilization
 
Niliyeunga hoja yake ameandika herufi kubwa ndyo maana na mm nikandika!
 
Hapana siwezi kasirika sababu elimu zimetofautiana anae sema mwenzie hana elimu yeye ndo hana elimu kabisa mweupeee na mpotoshaji.
Simba; Au umekasirika kuambiwa Sheikh wako hana elimu ya kutosha?

Atrsis ana elimu kubwa sana, kupita maelezo, iteni wasomi, sio sisi. Hatumuwezi kielimu.

Hivi ndugu yako alijibu maswali alioulizwa?
Simba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…