Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:

Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. aisha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi
Simba; Samahani nilikua nimelala usingizi mzito, nimeamka sasa hivi. Masha allah, nakusifu umeandika kirefu sana na kwa kina sana. Binafsi naweza kukujibu lakini Arsis hayuipo mbali nahisi yeye ndio kaniamsha, anajibu mwenyewe.

Arsis; Anaitwa Arabi sio Arab. amejitahidi sana. Simba na Yusuf Allah awarehemu, siongelei watu hapa. Naongelea elimu.

Nimetaja elimu mbili a kupim mtu ana elimu ya kutosha au hana. Arsh na Qareen. ni elimu ya Qur'an sio ya watu. Mtu au unaijiua au huijuoi. Kwisha. Sisi kwa kua amaeuliza elimu ipo kwenye Qur'an na amerudi na maswali sio majibu. Tumepata fursa kubwa sana yakufundisha wengi kupitia yeye na yeye atajifunza pia. Mfundishe kutumia JF.. mjina ni elimu kuwa iliotajwa kwenye Qur'an mwanzo mwanzo tu wa suratul baqara. Ajifundishe, yeye na mutao soma hapa. Asieelewa aulize, kuuliza sio ujinga.

Nakufahamisha tu, ukiona mtu anaulizwa swali halafu na yeye anauliza swa;li kabla hajajibu, uje huyo hana elimu ya kutosha.

Sijasema watu hawana elimu hata siku moja. Waytu wengi wana elimu lakini au kidogp sana au elimu mbovu isio na manufaa.

Mwabie Sheikh wako Arsh ipo ndani ya mioyo (Galb Kiarabu(core in English) yetu. usikiri hio moyo ya kusukuma damu. "Arsh Allah wasaa". Fanya hesabu ndogo tu, jumlisha arsh ya watu wote walio hai, walio kufa pamoja na viumbe vyote vya dunia zote saba. Utajua ukubwa wa Arsh ya Allah.

Nafahamu hili jibu langu litamtatanisha yeye zaidi na wengi wengine, amefungua kopo la "worms", soma kuhusu "book worms" utanielewa.

Kuhusu Qareen,maana yake nyeoesi kabisa ni "swahiuba) au rafiki kwa Kiswahili, sasa ni rafiki wa vipi? Ipo kwenye Qur'an asipate tabu sana, yeye wala wanaonisoma wasome Qur'an wataikuta sehemu nyingi. Pia kuna hadeeth maarufu sana Masheikh wako watakua wanaijua imetaja Qareen

Mkitaka kujua zaidi kuhusu Arsh na Qareen, na kingine chochote, ulizeni tu. Elimu ni sadaka yangu kwenu. haya maswali simba unajua yote, kwanini hujibu wewe?

Simba; Elimu ni bahari, tuogelee.
Simba.
 
Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:

Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. aisha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi
Mkuu kwanini majini wasikae kwenye ulimwengu wao na sisi tukae kwenye ulimwengu wetu
Unachukulia sana kama jini ni kiumbe cha ajabu, Jini ni hata wewe na mimi pia kwa wakati wetu.
Simba.
 
Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:

Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. aisha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi
Kasema atakujibu iwapo utamjibu maswali yake kwenye Audio Arsis
Mwambie Seoikh wako sasa namuamini zaidi alichosema Arsis, hjana elimu, hata mimi nampiga chini.

Mwambie sheikh wako ajibu, anauliza maswali ya kitoto kwa wenye kuelewa.

Watumishi wote wa Qur'an, licha ya Malaika, ni pamoja na yeye na mimi tunayoisomesha. namuongezea, Namaanisha Qur'an sio tafsiri ya Qur'an.

Anataka sasa tofauti ya Arsh na Kursi. haina haja hata ya kumwachia Arsis ajibu. Arsis kishaelezea Arsh ni nini labada awe hajaelewa aongezewe maarifa. Asijifanyue anaelewa kumbe haelewi, elimu yake ndogo sana. Kursi mimi namjibu kilugha sio ki lisan (ulimi), ni kiti. Sasa aisome maana ya Arsha alioilezea Arsis halafu aytofautishe ki ulimi baina ya Arsh na Kursi.

Mimi kwa kua nimeshamjibu, hua sikwepi swali kwa kuuliza swali kabla sijajibu, namuuliza yeye sasa. Anafahamu tofauti ya lugha na lisan au tumuelimishe zaidi?
Simba.
 
Mimi Simba; Habari dada. nilikua nimelala usingizi mzito nimestuka nikaona ujumbe wako. Arsis kajibu mwenyewe, hivi:

Hilo sio jambo la kubishana. Ibn Arabi sio Arab. Aidha pokea elimu au kataa. Elimu hailazimishwi.
Haina haja ya kumuita mwengine, mimi simba nakujibu.

Ibn Subian na Umm Subian ni lugha tu kutofautisha mwanamke na mwanamme. Kuhusu Subian nilishaeleza maana yake nini juu huko, kama hamjaelew hilo, ulizeni.
Simba.
 
Imebidi nicheke. Mbona naona wengi sana wanaokwenda kutoa mapepo ni kwenye mikusanyiko ya Wakrsto kuliko misikitini? Sijaona misikiti ikatoa mapepo au majini. labda naingia misikiti sio?
Simba.
 
Arsis anasema, ni ngumu sana kufuta uongo uliouamini hata kwa kujidanganya mwenyewe.

Katoa mfano wa Firauni aliesema yeye ni Mungu wakati anajua ni uongo.
Simba.
Simba, namsoma Arsis, huyo ni kiboko.

Leta basi kisa cha Unguja ulichoahidi. Maswali hayaishi hapa.
 
Hiyo tafsiri yako ya kujifurahisha moyo wako. Basi natajirika mwaka huu.
Simba.
Nikatieni na mimi niletafuta namba nikaiweka hapa. Huo uzi wa huyo bi Zainab upo hapa miaka zaidi ya kumi au kumi na tano sasa.
 
Imebidi nicheke. Mboina naona wengi sana wanaokwenda kutoa mapepo ni kwenye mikusanyiko wya Wakrsto kuliko misikitini? Sijaona misikiti ikatoa mapepo au majini. labda naingia misikiti sio?
Simba.
Hapo nimesema mapepo wala majini hayakai kwa 'mkristo safi' zingatia hilo.

Ila kwa muislamu safi ni kawaida kuwa na marafiki wa kijini.
 
Imebidi nicheke. Mboina naona wengi sana wanaokwenda kutoa mapepo ni kwenye mikusanyiko wya Wakrsto kuliko misikitini? Sijaona misikiti ikatoa mapepo au majini. labda naingia misikiti sio?
Simba.
Pia misikitini hakuna kawaida ya kutoa mapepo (majini) maana nayo pia huswali.
Ni ndugu zao kiimani.
 
Arsis nakumbushia hii;
Muulize Arsis mwenyewe swali hili; wanawake wakifikisha umri fulani inakuwa changamoto kuzaa/kubeba mimba. Wanapotaka kubeba mimba ni nini wafanye? Njia watakazotumia ziwe na ujuzi wa kibinadamu na watoto watakaopatikana wawe ni binadamu %100. Kuna wanawake hubeba mimba na inasemekana watoto ni majini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…