Ndiyo wewe nini?Acha kutuona wajinga, unavyoforce story yako ionekane ya kweli ndo unazidi kuharibu. Huyo Arsis wako baki naye kichwani maana hayupo so acha upuuzi andika story tuburudike tu.
Nilijua tu mwisho wa siku watu watalia humu, naona mmeanza kuwapanga! Wewe na mleta uzi ni aidha mtu mmoja au kundi moja lenye mpango mkakati...muda utasemaHuyo nimeshamjuwa, yupo hapa JF, ngoja nitafute uzi wa yule rafiki yangu, namjuwa mpaka namba zake kazitangaza hapa jF, mpigie 0769302206 anaitwa Bi Zainab, mumewe anamwita "Bi Mrembo", anaonesha ujana wake alikua mrembo kweli kweli, si mchezo. Hapa JF wengi wametumia hiyo tiba yake, mimi mmoja wapo, mpaka leo naitumia kulainisha ngozi kama urembo tu, Ni nzuri sana.
Mtawatapeli wajinga kama nyinyi, ngoja tuone.Ndiyo wewe nini?
safi sana umefanya vema..ila huu uzi ni wa miaka mingi huo udongo atakuwa bado nao kweli mpaka sasa tena ule original.?Huyu hapa, kwani yupo mbali, ni hapahapa JF. Hiyo tiba ni kiboko, mimi nampigia debe, nimeshaitumia sana. Ongea nae tarartibu ni mtu mzima sana sasa. Namba zake ni 07693022060 au WhatsApp 06252449606.
Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi...www.jamiiforums.com
Mimi huduma yangu ni kufikisha ujumbe wa Arsis tu. Arsis ujumbe wake mkubwa ni kua yeye anatoa maarifa, sio zaidi ya hapo.Nakufuatilia naelewa, najua hupendi kuwaambia watu kuhusu huduma zako kwa sasa lakini pokea na kuwasaidia wale wanaohitaji huduma hizo kama kwa dhati unaamini hazipingani na Muumba wa Mbingu na Nchi.
Hivi Yesu si mnasema ni Mungu? Kama ni kweli aliwaumba majinni na mashetani?Hii Mada ni ya Waislamu na ndugu zao wa kijini.
Wakristo tukae pembeni tuwasikilize tu.
Ni ya Waislamu na ndugu zao Majini.
Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”
Mkristo kama huelewi kitu kwenye dini yako, waulize Malaika wa Mungu Mwenyezi.
Malaika waana nguvu kuliko hao Majini wa Kiislamu wa utambuzi kuishia kujiita
“Shehe Sharifu Majini
Siku hizi msimu huko mahandakini watoto na wajukuu wanavyouwahi, mpaka wamewekeana sheria huko, watavunwa kamaba wakati wa msimu na watauzwa kwa pamoja, kila mtu atapewa mgao kutokana na hesabu za urithi .Labda uwaagize wanaokwenda Nyamisati. Kwetu shungubweni wapo, lakini hawanunuliki siku hizi, wavuvi wana order za mahoteli ya wenye pesa zao. Wenyeji sisi mpaka tuongee na wajomba ambao wavuvi ndio watuletee tena kwa mbinde na huruma ya ndugu tu.
Ongeeni na Simba wakati wa msimu awaletee. Ngoja nifanye urafiki na Arsis, watanikoma hao.
Kuna tofauti ya malaika / mizimu na majini. Waarab nijuavyo mimi kwa elimu yangu ndiyo majini haswa.Chief wapo tena sana,kuna ndugu yangu mmoja yeye ni mkristo,aliwahi pandisha ,kuna mwamba mmoja toka Marekani anaongea slang ile yenyewe,hapo ndo niliamini kweli majini wapo,kwasababu huyo ndugu yangu hajui kiingereza kabisa
Sema hao wengine labda maarufu,hivi unajua mpaka kuna majini ya kimasai,je wamasai ni waarabu?
Tujifunze mambo jaman ,tuache kusema mambo bila elimu
Majina yao halisi ni yepi sasa?Elewa kua hao wanajipachika tu majina sio majina yao halisi.
Hebu fafanua tukujuze maana naona unaanza kujichanganya utafikiri ndiyo kwanza umetoka motoni kupumzikaVipi yule aliyemkumba Yesu siku 40, anaitwa nani?
Zanzibar yenyewe ni nchi ya majini, mtalii ukufika tu unakabidhiwa jinni as zawadi.Nenda Zanzibar wana mashetani yao ya Kibuki ni wakirsto wana asli ya kizungu wafaransa wao ni pombe, u gay u lesbians kila balaa wanalo😄hakuna maimuna wala fatuma majini hayo.
Kama ilivyo Binadamu tuna makabila tofauti dini mila tofauti ndivyo ilivyo kwa majini.
Binafsi sijawahi ona Mwarab msafi wa roho, hata siku mojaKwa hiyo Waarabu siyo safi kiroho? Nani hao walio safi kiroho?
Mara nyingi sana, halafu jini bakora hakunipa tena, nilikua nafanya uhuni ujanani. Mwenyezi Mungu anisamehe sana. Kuujaribu huo nishaingia mpaka chooni kukoga na wanawake.Halafu nimesoma mwanzo wa simulizi yako kuna mzizi ulipewa na Jini Bakora na akakupatia maelekezo yake ya kwamba ukiutafuna hauwezi kuonekana hadi pale utakapo tema huo mzizi toka kinywani ndio utaonekana kwa macho ya kawaida, swali langu kwako Bw. Arsis huo mzizi kuna mahali popote ulishawahi ujaribu na ukapata matokeo chanya? Lete majibu boss
Hivi roho ya mtu unaionaje hii safi, hii sio safi?Binafsi sijawahi ona Mwarab msafi wa roho, hata siku moja
Tupe hiyo mizizi.Mara nyingi sana, halafu jini bakora hakunipa tena, nilikua nafanya uhuni ujanani. Mwenyezi Mungu anisamehe sana. Kuujaribu huo nishaingia mpaka chooni kukoga na wanawake.
Sasa kuna mzizi huo anaujua babu yangu, sasa hivi anaujua yule shangazi yangu wa shamba. ni mti gani. Jini bakora anaujua lakini hanipi, anasema ikitokea kazi yake ndio atauleta, hanipi kukaa nao kabisa.
Huo ukimtia nao mtu mdomoni hata awe kapandisha wazimu au majini, sekunde hiohio anaishiwa nguvu anakua shwari kabisa na analala fofofo.
Shangazi yangu anasema ule ndio wanatumia wachawi na wanga kulaza watu wafanye kazi zao usiku. Shangazi anasema ule wakijua unao wattakuua ili waupate, kupewa kwake mpaka ule viapo..
Ule wa kua huonekani, hata leo nikiutaka wananipa, ule sokosi kua nao. KUna sehemu haufanyi kazi una sehemu zake.
Wewe ndio maana unashambuliwa sana JF, Mchokozi sana. Mizizi kwenu hakuna?Tupe hiyo mizizi.
Roho safi au mbaya hazina kabila wala taifa.Binafsi sijawahi ona Mwarab msafi wa roho, hata siku moja