vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 599
- Thread starter
- #121
Wafuate taratibu za kaziTatizo madaktari wetu nao wanasikiliza mno propaganda za chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafuate taratibu za kaziTatizo madaktari wetu nao wanasikiliza mno propaganda za chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkono uliteleza. Asante kwa marekebisho. Ni tarehe 30/3/2020Pole sana mkuu.
Ila naomba kurekebisha tarehe ya leo : 30/04/2020
Mungu ampe mgonjwa uponyaji wa haraka.
Hivi ng'ombe Kama wewe unapata hewa bure harafu unaandika mimavi mitupu humu kwanini usikae kimya kuliko kucomment upumbavu Kama huu jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya wazua taharuki mtandaoni hiyo...pole sana kiongozi,hope atapona
Chunga sana wa namna hiyo asipate #covid19!!!
DuuuhHivi mkuu kweli katika hali ya kawaida tu, hawa wanafaa kuachiwa ile ikulu ya chamwino kweli na uwakabidih hazina kweliView attachment 1435586View attachment 1435587View attachment 1435590View attachment 1435585View attachment 1435586View attachment 1435587View attachment 1435590View attachment 1435585
Watu ni lazima wakuogope cz vifo nao vimekuwa kibao mno rate imeongezeka kidogo waliougua muda mrefu wanakufa ghafla tu imagine that...
Hawa wengine mbona wanajulikana tu kweupee....!!! Jinsi wanavyogeuza vyama vya siasa kuwa mali yao binafsi; Wanavyojisultanisha uongozi wa milele wa chama, na wanavyofisidi ruzuka za chama, huku wakiwapatiliza ama kuwafunga midomo wanaohoji matumizi yasiyofaa!
Yule mzee aliyejificha chato alidhania kupambana na corona ni kazi rahisi
Sasa inabidi agawe mavazi ya kujikinga na corona kwa madaktali na manesi wote wa Tanzania nzima
Maana hata kama wewe unaumwa maralia doctor ataamini vipi kama wewe huna corona na atakutibia vipi wakati yeye amevaa tisheti na jinsi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mubimbili ni hosipitali ya rufaa ya taifa labda walikuambia umpeleke huko kwingine kwakua ndiyo utaratibu baada ya kuona hali ya mgonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini umeleta taarifa hiyo kishabiki tu na siyo kiuhalisia. Taarifa za uchochezi hazikusaidai kamwe kufikia lengo lako.
Unajua fika Muhimbili ni hospitali ya rufaa. Wagonjwa wanaopokelewa hapo wanapaswa kuwa walio na rufaa tu. Kuimarishwa kwa hospitali za Wilaya na Mikoa, Vituo vya afya na Zahanati nchi nzima, Muhimbili imebaki na jukumu lake la msingi. Hivyo basi, kama ni kweli ulimpeleka mgonjwa wako, ni kwa kimazoea, ndiyo maana umekwama.
Niliwahi kuandika humu nilienda tu Zahanati ya karibu kupima Malaria na nilikuwa na kikohozi cha kawaida kutokana na hali ya hewa, Daktari niliyemkuta alikuwa ananiuliza maswali akiwa na jazba kama anahoji mwizi.
Madaktari wapo katika hali ya taharuki kwa kukosa vifaa vya kujilinda na mazingira wezeshi, sasa hivi kama kuna uwezekano wa kujitibia ukiwa nyumbani ni bora ukae na dawa zako za kutosha.
Watu wengi watapoteza maisha kwa hali za utata kwa magonjwa ya kawaida kwa sababu ya kukosa huduma.
Yaa!! Lakini private wako kibiashara zaidi. They will never ever leave your penny
Ambacho hajatuambia ni kuwa alimpeleka mgonjwa muhimbili akiwa katokea wapi. Kama ni moja kwa moja si rahisi kupokelewa bila kuwa na rufaa kutokea temeke au hospitali ya chini yake. Vinginevyo angeelekezwa kufuata route ya private palepale muhimbili na mgonjwa angetibiwa kama private
SanaMadoctor licha ya kwamba professional yao ni kuhudumia wagonjwa ila wanawanyanyapaa wagonjwa![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Asee pole sana mkuu! kwa kifupi sasa hivi kila mgonjwa anayekwenda hospitali kwa ajili ya matibabu anakuwa suspected kama mgonjwa wa Covid19, na hii inatoa picha halisi kujua jinsi gani hili janga limeshaenea kiasi kikubwa,.Yani serikali imeshalemewa