Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambacho hajatuambia ni kuwa alimpeleka mgonjwa muhimbili akiwa katokea wapi. Kama ni moja kwa moja si rahisi kupokelewa bila kuwa na rufaa kutokea temeke au hospitali ya chini yake. Vinginevyo angeelekezwa kufuata route ya private palepale muhimbili na mgonjwa angetibiwa kama private
 
Si kweli, huwa kuna cost tofauti ya aliyeenda kwa referral na ambae hajaanzia secondary health care

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu wote. Corona imetuletea tafrani kubwa. Leo nimempeleka Muhimbili mgonjwa mwenye presha ya kushuka.

Alikuwa mahututi, hawezi hata kuongea. Kufika mapokezi dr mmoja (jina lake sikufanikiwa kulijua) aligoma kumpokea akidai kwamba twende hospitali ya Temeke au Mwananyamala.

Nikamuuliza dr kwa hali ya mgonjwa ilivyo huoni kama akichelewa kupata tiba yanaweza kutokea mengine. Jibu alilonipa nilichoka. Alijibu kwamba mgonjwa bado hajazidiwa na hawezi kumtibu hivyo tuondoke. Sikuwa na jambo lingine la kufanya zaidi kumpeleka mgonjwa hospitali ya private. Siku hizi ukimpeleka mgonjwa hospitali nyingi (za serikali) akiwa mahututi, ma-dr na ma-nesi wanaogopa kumuhudumia, wanahukumu kwamba kila mtu ameambukizwa Corona.

Wizara ya afya imeshindwa kutoa huduma bora kwa wakati. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa matibabu. Hayo nimeshuhudia kwa macho yangu leo tarehe 30 Machi, 2020 hospitali ya MUHIMBILI saa 7 mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee pole sana mkuu! kwa kifupi sasa hivi kila mgonjwa anayekwenda hospitali kwa ajili ya matibabu anakuwa suspected kama mgonjwa wa Covid19, na hii inatoa picha halisi kujua jinsi gani hili janga limeshaenea kiasi kikubwa,.Yani serikali imeshalemewa
 
Salamu wote. Corona imetuletea tafrani kubwa. Leo nimempeleka Muhimbili mgonjwa mwenye presha ya kushuka.

Alikuwa mahututi, hawezi hata kuongea. Kufika mapokezi dr mmoja (jina lake sikufanikiwa kulijua) aligoma kumpokea akidai kwamba twende hospitali ya Temeke au Mwananyamala.

Nikamuuliza dr kwa hali ya mgonjwa ilivyo huoni kama akichelewa kupata tiba yanaweza kutokea mengine. Jibu alilonipa nilichoka. Alijibu kwamba mgonjwa bado hajazidiwa na hawezi kumtibu hivyo tuondoke. Sikuwa na jambo lingine la kufanya zaidi kumpeleka mgonjwa hospitali ya private. Siku hizi ukimpeleka mgonjwa hospitali nyingi (za serikali) akiwa mahututi, ma-dr na ma-nesi wanaogopa kumuhudumia, wanahukumu kwamba kila mtu ameambukizwa Corona.

Wizara ya afya imeshindwa kutoa huduma bora kwa wakati. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa matibabu. Hayo nimeshuhudia kwa macho yangu leo tarehe 30 Machi, 2020 hospitali ya MUHIMBILI saa 7 mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ndo maana natakaga kujifunza hata jinsi ya kumtundika MTU dripu nipunguzage shida nyingine .........
 
Covid-19 Ina muda tangu itajwe China, Tanzania hakuna maandalizi ya msingi yaliyofanywa. Wapinzani wakiikumbusha serikali kujipanga, ndio kwanza bungeni mipasho kwa wapinzani inakomaa, utadhani watoto wa chekechea wanamzomea kikojozi. Madaktari wasilaumiwe hawana vifaa vya kujikinga wakiwahudumia wagonjwa. Mrundikano wa wagonjwa siku zote ni mkubwa, serikali haiajiri. Hata kabla ya corona, wagonjwa wanahiari kwenda kwa sangoma kuliko kushinda hospitali ukisubiri daktari ambaye nae akikuandikia dawa dirishani karatasi itajazwa o/s o/s o/s o/s.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assumptions hizo, hawa tunawafahamu na kuwajua, wale wengine hatuwajui; kwanini tusiwajaribu tuone? Cause hata hiyo mikakati yao ambayo inasifiwa, ni mawazo ya hawa hawa tusiowajua, yaani wana copy tu na kupestia kwao.
Labda wewe ndo huwajui.

Mfano Lowasa &Co waliyekuletea 2015 ulikuwa humjui nini sasa?

Chagua yeyote unayejisikia lakini kutegemea jipya ni beyond madness.
 
Salamu wote. Corona imetuletea tafrani kubwa. Leo nimempeleka Muhimbili mgonjwa mwenye presha ya kushuka.

Alikuwa mahututi, hawezi hata kuongea. Kufika mapokezi dr mmoja (jina lake sikufanikiwa kulijua) aligoma kumpokea akidai kwamba twende hospitali ya Temeke au Mwananyamala.

Nikamuuliza dr kwa hali ya mgonjwa ilivyo huoni kama akichelewa kupata tiba yanaweza kutokea mengine. Jibu alilonipa nilichoka. Alijibu kwamba mgonjwa bado hajazidiwa na hawezi kumtibu hivyo tuondoke. Sikuwa na jambo lingine la kufanya zaidi kumpeleka mgonjwa hospitali ya private. Siku hizi ukimpeleka mgonjwa hospitali nyingi (za serikali) akiwa mahututi, ma-dr na ma-nesi wanaogopa kumuhudumia, wanahukumu kwamba kila mtu ameambukizwa Corona.

Wizara ya afya imeshindwa kutoa huduma bora kwa wakati. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa matibabu. Hayo nimeshuhudia kwa macho yangu leo tarehe 30 Machi, 2020 hospitali ya MUHIMBILI saa 7 mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kiongozi [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea upuuzi, niko na Dr mmoja nimrnuonyesha hii comment yako amesema lazima wewe utakuwa mvuvi au mchoma mkaa. Mitandao wameanza kuitumia tokea secondary hadi chuoni mpaka sasa, kipi cha ajabu??
Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, sasa hivi kuna magonjwa mawili haya bado madaktari wetu yanawavuruga vichwa vyao sana,

Moja ni Changamoto ya upumuaji. Hii hupelekea mtu kushindwa kupumua hadi anakata roho.
Pili ni Changamoto ya kusimama. Hii hupelekea mtu kudondoka barabarani hadi anakata roho.

Sasa mnapopeleka wagonjwa hospitali waambieni wajikaze wasionyeshe dalili hizo mbili hapo juu kwenye hatua za awali wafikapo hospitali ili apatiwe matibabu.
 
Pole mkuu..

Mimi nashauri wauguzi wapewe PPE nyingi na handsanitizers zile za kwenye vichupa vidogo wawe wanatembea nazo..itawapa confidence kuwahudumia watu..hatuwezi kulitoa hili tatizo bali itapunguza
 
Salamu wote. Corona imetuletea tafrani kubwa. Leo nimempeleka Muhimbili mgonjwa mwenye presha ya kushuka.

Alikuwa mahututi, hawezi hata kuongea. Kufika mapokezi dr mmoja (jina lake sikufanikiwa kulijua) aligoma kumpokea akidai kwamba twende hospitali ya Temeke au Mwananyamala.

Nikamuuliza dr kwa hali ya mgonjwa ilivyo huoni kama akichelewa kupata tiba yanaweza kutokea mengine. Jibu alilonipa nilichoka. Alijibu kwamba mgonjwa bado hajazidiwa na hawezi kumtibu hivyo tuondoke. Sikuwa na jambo lingine la kufanya zaidi kumpeleka mgonjwa hospitali ya private. Siku hizi ukimpeleka mgonjwa hospitali nyingi (za serikali) akiwa mahututi, ma-dr na ma-nesi wanaogopa kumuhudumia, wanahukumu kwamba kila mtu ameambukizwa Corona.

Wizara ya afya imeshindwa kutoa huduma bora kwa wakati. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa matibabu. Hayo nimeshuhudia kwa macho yangu leo tarehe 30 Machi, 2020 hospitali ya MUHIMBILI saa 7 mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu Mungu amsaidie mgonjwa apate afya njema
 
Sasa una bishana na mimi au na mleta mada ambae amesema kuwa mgonjwa wake amekataliwa hospital?.
Haya niambie HII TABIA YA MADAKTARI KUKATAA WAGONJWA IMEANZA LINI?
Unaongea upuuzi, niko na Dr mmoja nimrnuonyesha hii comment yako amesema lazima wewe utakuwa mvuvi au mchoma mkaa. Mitandao wameanza kuitumia tokea secondary hadi chuoni mpaka sasa, kipi cha ajabu??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingia pale Muhimbili mpaka upewe uhamisho kutoka hospitali za wilaya mfano Mnazi mmoja,mwananyamala,Palestina n.k utararibu upo toka zamani vinginevyo gharama zake ndio hizo mtakuja sema tena humu zipo juu ukifuata utaratibu mbona wanakupokea vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuvumilie tu hili janga ni dunia nzima
Angalia hata Japan wanafukuza wagonjwa hata walio mahututi
Na hapa nilipo unaingia kwenye mtandao tu na kufuata utaratibu, mengine unajiongeza mwenyewe
Hospitali pia zimeelemewa na wale wagonjwa wa kila siku na kuongeza na hawa wa Corona
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umefafanua vizuri.
Ila kuna watu vichwa ngumu.
Mleta mada amesema mgonjwa wake alikuwa anaumwa presha ya kushuka.
Katika Hali ya kawaida wangempa hata huduma ya kwanza.
Lakini walimkataa kabisa .
Swali tujiulize kwanini walimuogopa kumpa hata huduma ya kwanza?

Back
Top Bottom