vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 599
- Thread starter
- #101
Ni kweli mkuuNaamini kuna vifo vingi vimetokea kwa makosa kama haya, kisa tu kila mgonjwa anahisiwa ana korona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuNaamini kuna vifo vingi vimetokea kwa makosa kama haya, kisa tu kila mgonjwa anahisiwa ana korona
Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaokataa hayajawafika. Hawajauguliwa na mgonjwa/wagonjwa mahututi kipindi hikiKuna mmoja amekataliwa Temeke, Muhimbili na Zakhem Mbagala... kapelekwa TMJ ndo anatibiwa huko... wanaokataa sijui wanawaza nini.
Kwa hiyo mtu akidondoka ndani ya hospital ya mhimbili anatolewa kwenda hospital nyingine kwa sababu hana karatasi ya rufaa.Kwenda mhimbili mpaka uwe na refferal kutoka hospital ya mkoa au ya rufaa,yawezekana Dr Ali asses tatizo that why akagoma,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwanaeeeee!!!Assumptions hizo, hawa tunawafahamu na kuwajua, wale wengine hatuwajui; kwanini tusiwajaribu tuone? Cause hata hiyo mikakati yao ambayo inasifiwa, ni mawazo ya hawa hawa tusiowajua, yaani wana copy tu na kupestia kwao.
Unaweza kuhudumiwa kama private ila gharama ni za juu tofauti na wanaenda kwa rufaa
GeneousHakika 100%, mm siwachukii ccm peke yao, I REALLY HATE THE WHOLE THING CALLED POLITICS
Nashukuru alihudumiwa vizuri hospitali ya privateDuh pole sana….kuna umuhimu wa uelewa juu ya huduma ya kwanza... Presha ya kushuka kuna huduma ya kwanza mngempa maana hata kwenda hospital kipindi hiki ni kujiexpose kwenye magonjwa...…...
Poleni sana hope mlipata huduma nzuri huko mliko mpeleka.
wewe msaga sumu nakushauri kasage sumu, ndo kazi yako hiyo!
unaboronga babu!
Bila shaka ujumbe umefikaUnaposema sisi unamaanisha nini? Hao madaktari siyo sisi? Tunaoandika hapa siyo sisi? Wanaokataliwa kupokelewa siyo sisi??
Ni kweli mkuuHuduma bora ipo midomoni tu
Nenda field uone utachoka mwwnyewe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan unatania tu. Kama upo serious Ndo mawazo yako tunasafari ndefu.Hivi mkuu kweli katika hali ya kawaida tu, hawa wanafaa kuachiwa ile ikulu ya chamwino kweli na uwakabidih hazina kweliView attachment 1435586View attachment 1435587View attachment 1435590View attachment 1435585View attachment 1435586View attachment 1435587View attachment 1435590View attachment 1435585
Asiyeweza kazi akae pembeni. Awapishe wengine walio tayari kuwatumikia wananchiMadaktari wapo full stressed bro Miaka minne mkuu hajawaonheza MISHAHARA ,,na hii hali ndo tutakoma
Waiadhibu serikali, sio wagonjwaMkuu madaktari hawajawa trained kuogopa wagonjwa..never!..na hakuna daktari anayefanya kazi yake kwa kusoma hisia za mitandao!.ni either hawana vifaa vya kujikinga au hakuna nafasi ya kuwahudimia wagonjwa.
Pole sana. Ndipo tulipofikishwa. Mhudumie mgonjwa wako sehemu nyingine kama ulivyoamua kumpeleka private. Mkirudi nyumbani kaeni ndani. Hakuna msaada kutoka kwa viongozi, jilinde mwenyewe na uwapendao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tuu baada ya kusoma Uzi ntakutana na watu wenye akili hizi,
I'm on that good kush and alcohol
Hakika 100%, mm siwachukii ccm peke yao, I REALLY HATE THE WHOLE THING CALLED POLITICS