Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

Wameamua kufuata taratibu za kazi zinavyowaelekeza,mtu hautakiwi kukurupuka kumpeleka Mgonjwa Muhimbili lazima kwanza upitie hospital za huku chini kama M/Nyamala au Temeke and then ishu ikiwashindwa unaandikiwa rufani ya kwenda Muhimbili.

Madokta hawaogopi Korona wamepewa PPE za kutosha na wanambinu za kujikinga plus wito waliopewa na Mungu.

Tarehe 29 juzi wife nilimpeleka hospital ya Jeshi akajifungua fresh tu hakuna longo longo wala nn ila walini mind nilienda bila mask coz niliisahau kwenye gari si unajua majanga yakikukuta unaweza kuacha mtoto ukakimbilia kumbeba paka ukidhani mtoto.

Watu waliniona boya wakaona kama nimebetia maisha ya wife kwa nn nisingeliunga moja kwa moja Muhimbili,ila wakati wife yupo wodini nesi alikuja akanisifu akanambia npo vizuri maana ningekurupuka M/mbili ingeweza kura kwangu.
 
Salamu wote. Corona imetuletea tafrani kubwa. Leo nimempeleka Muhimbili mgonjwa mwenye presha ya kushuka.

Alikuwa mahututi, hawezi hata kuongea. Kufika mapokezi dr mmoja (jina lake sikufanikiwa kulijua) aligoma kumpokea akidai kwamba twende hospitali ya Temeke au Mwananyamala.

Nikamuuliza dr kwa hali ya mgonjwa ilivyo huoni kama akichelewa kupata tiba yanaweza kutokea mengine. Jibu alilonipa nilichoka. Alijibu kwamba mgonjwa bado hajazidiwa na hawezi kumtibu hivyo tuondoke.

Sikuwa na jambo lingine la kufanya zaidi kumpeleka mgonjwa hospitali ya private. Siku hizi ukimpeleka mgonjwa hospitali nyingi (za serikali) akiwa mahututi, ma-dr na ma-nesi wanaogopa kumuhudumia, wanahukumu kwamba kila mtu ameambukizwa Corona.

Wizara ya afya imeshindwa kutoa huduma bora kwa wakati. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa matibabu.

Hayo nimeshuhudia kwa macho yangu leo tarehe 30 Machi, 2020 hospitali ya MUHIMBILI saa 7 mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni Sana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unambiwa virus waliyopo kwenye mwili uliyokufa ni hatari kuliko aliyepo kwenye mwili ukiyohai
Maana Wanakuwa na hasira balaa
Ngoja hpa tuendeleee kupiga kvant na mistori juu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiwalumu madaktari na manesi, kuna wengi wamepoteza maisha, wengine wanaumwa na wengine wamejiweka karantini wenyewe.

Hakuna mtu mpumbavu anayeweza kuhatarisha maisha yake kukusaidia wewe wakati akipona huduma nzuri sifa zote unapeleka kwa mungu wa Chato.

Kama vipi nenda kwa mungu wa Chato akufukize
Naona mada inapindishwa kwa makusudi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahawa ilishindikana. Pia pombe hatumii. Tulitumia FIRST AID ikashindikana
Hao wa presha za kushuka unawakorogea kahawa kikombe kimoja na ikibidi unamchochea na konyagi ndogo mpaka jasho

Unaweza kwenda na matatizo ya kapresha ka kushuka unarudi na kacorona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgonjwa huwa anatibiwa muhimbili. Ana file huko

Back
Top Bottom