Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Wewe unatoka familia ya kipumbavu Sana, siyo wewe tu, mpo wengi mashwaini hapa duniani.Ni mbwa mkuu mzee alitoka nao Ujeruman chakula wanakula kilicho pikwa vizuri ugali hawali
Ha ha ha haaah duh, inafurahisha sana.bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
haha haha .....mmeshafika huku Mara hii""....haya Mwenye nguvu apute basiiiiii"" anilipie na ng'ombe wangu ...""Bata mzinga kweli wewe hivi unajua hata bajeti ya mbwa koko au paka shume hadi unalopoka uhalo hapa
Aiseeee""mm nilijua kakuta watu wanajifanya road!lol
hahaaaa haaaaa haaaaa "" bangi hizi "" daahbora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
uongo mbaya jaman ingekuwa kweli ungekuwa hata humu jamiiforum hupajui! keyboard zinaficha mengi ukute unakaa tandale
malaya bana utamjua tuKichwa cha habari nilivyokiona nikajua umekutana na wadada wa pale Itigi au Samaki Sport
hahhahahahahahahaha unafuga kibaka unasingizia mbwabora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
Nenda PH Kennel pale kimara anao anauzaMkuu uliwafundisha nwenyewe, au unanunua wakiwa wameshafundishwa?
Nikihitaji kununua nitafanyaje ili wanizoee mimi na familia yangu, maana isije siku wakanilia mwanangu au mtoto wangu.
Napenda sana kufuga hao majibwa.
Belgian shepherd anafananaje?TAHADHARI
ROTTWEILER ni miongoni mwa mbwa hatari sana na ni jeuri mno.wakiwa na njaa wanaweza kutafuna mtoto.
Mimi ni mfugaji wa mbwa wa kisasa, ninapendelea GERMAN NA BELGIAN SHEPHARD
Aina mojawapoBelgian shepherd anafananaje?
Vv
WengineBelgian shepherd anafananaje?
Vv
Huyo mbwa anayezungumziwa hapa niliwaona kwa Wazungu fulani wenye orphanage Center huko Kigamboni.kununua mbwa kwa gharama zote hizo maisha ya Mtaanzania haya ili iweje.?? huo upande wa pili ilibidi ajibu yeye mm nimezungumzia upande wa kwanza tu na tungeishia upande huu huu tu
Hawa wanatumika kama mbwa wa polisi, wana akili, nguvu na ustahimilivu wa mazingiraInaonekana wako sharp na sensitive.
Vv
hahaa ngoja tufurah banaHa ha ha haaah duh, inafurahisha sana.
Naogopa sana mbwa
Bei ndogo sana, huuzwa hadi $3,500Huyo mbwa anayezungumziwa hapa niliwaona kwa Wazungu fulani wenye orphanage Center huko Kigamboni.
Siku moja nikawauliza kama wanauza, wakaniambia wanaye mdogo wa miezi 6 na wanamuuza Euro 1,000/- yaani zaidi ya milioni mbili, nilikaa kimya kama sikuuliza.
Vv
hahhahahahahahahaha unafuga kibaka unasingizia mbwa