Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Status
Not open for further replies.
Nimekusomaa lakini sikuona mahali ulipokivukia hicho kizingiti cha dini. Kumbe sasa naamini kuwa; Mwanamke hana dini!!!! Ukaja na bashasha hapa kutuambia kuwa umebadili dini kwa sababu ya mwanamume?? Je, huyo mtu ndo mola wako?? Waweza fanikiwa saana kidunia ila akhera ukaikosa. Hukumbuki kuwa ipo siku utapewa sanda tu kama mali yako kuubwa sana??
Sikushauri hata urudie dini yako kwani utakuja ambukiza na wengine
Dini inampeleka mtu peponi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wewe dada umenisikitisha vbaya mnoooo...
Kwanza,usitudanganye wazazi wako walikua na dini...NOoooo...mwenye dini hamruhusu bintiye aingie kwenye ukafiri afu bado mahusiano yawepo..

Ni kweli dunia imeachwa na fitna ya watoto,wanawake na mali.
Mzazi aliye na dini akubali mwanae aritadi?!!!..kuna walakin hapo!

Yaan tumbo la chango la uzazi limeniuma...Wallwahi kuna siku utajutia hii thread yako,,,roho inaniuma utadhni ni mdgo wangu au mwanangu anaeelezea huu upuuzi!

Na hvi upo kwenye mali sa hvi,ndo utazidi kuhadaika...Namuomba Allah akufungue milango ya faham ujione ulivyopotea!!!..

Yaa RABBI BARIKI UZAO WA TUMBO LANGU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisikitisha mwenyewe mm sikuhusu hata kidogo, pia sijakulazimisha kuamini nilichoandika...pambana na hali yako achana na salma maana hakuhusu. Unajifanya mcha mungu huna lolote dhambi unafanya kama kawaida ....kama unadhani nimepotea huo ni mtazamo wako tu maana hata hayo unayoyaamini huna uhakika nayo maana hujawahi kufa ukarudi...
 
Povu la sabuni gani mkuu kwani kuajili watu 300 kuna shughuli gani? watu wana viwanda vidogo vidogo wameajili watu karibia 80 ndani ya miaka 2 je hao wa miaka sita wanashindwa nininkuajili watu 300

na kashakwambia wanamiliki biashara mbali mbali

tuchukulia mfano wa shule unadhani huwa inawaajiliwa wangapi? kuanzia walimu wafanya usafi wapishi etc?

Msiwe na mawazo mgando kuna biashara nyingi tu ambayo unaweza ajili watu wengi hata kama ni vibarua as long as umewaajili
Mwambie akutajie hiyo shule jina lake yenye wafanyakazi 300 au kiwanda wanachomiliki chenye wafanyakazi 300.Si ajabu huyo hata shamba boy hana,kuajiri mtu,mwenye akili timamu,unafikiri ni jambo la mchezo.
 
Hongera Salma...tena ungebadili na jina kabisa uitwe Magdalena... achana na hawa wafuasi wa uncle Muddy, hawajielewi!! wanaona kama vile wamepoteza muislamu mmoja,shubhaakhamiiit
Hapana mkuu ntabaki na jina hili hili milele lkn Yesu akiwa ndani yangu
 
Mwambie akutajie hiyo shule jina lake yenye wafanyakazi 300 au kiwanda wanachomiliki chenye wafanyakazi 300.Si ajabu huyo hata shamba boy hana,kuajiri mtu,mwenye akili timamu,unafikiri ni jambo la mchezo.
Najua kilichokuuma nikuona nimebadiri dini lkn nikwambie kitu sina sababu ya kudanganya ..pambana na hali yako acha kutoa povu
 
Mwambie akutajie hiyo shule jina lake yenye wafanyakazi 300 au kiwanda wanachomiliki chenye wafanyakazi 300.Si ajabu huyo hata shamba boy hana,kuajiri mtu,mwenye akili timamu,unafikiri ni jambo la mchezo.
Suala la kuajiri watu wengi naona kama watu mnabishana either makusudi or kwa kutokufaham.
Kuna my own uncle anamiliki biashara moja tu lakini ameajiri karibu watu 100 wenye mikataba na zaidi ya 150 vibarua. Je angekuwa na biashara mbili au tatu!!
Salma kasema biashara mbalimbali, kwangu mimi naona hiyo ni inawezekana saana, infact zipo nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna watu wana mawazo ya kimasikini sana binafsi watu kama hao huwa sitaki kuwaamsha wache waendelee kutokuamini
Kuweni na akili,vile mnavyodanganyana makanisani,kwa kutoa mapepo fake,kununuwa watu,na kuwafanya wana mapepo,au kuwafanya ni kilema,au kukosa uzazi,hivi sasa watu wengi wameshtuka uongo huo,ndio mnabadili gia kwenye maji mafupi sasa,kwa kuleta vigano vya kutunga.
Mara tumekamata wachawi,wachawi wa kuwatengeneza,mara nilikuwa muislamu nasomea ushekhe,nikasomea majini,mara mseme nilikuwa shekhe,sasa nimeokaka,sasa mwaja na mbinu ya kimapenzi.
Hebu fikiria katika akili ikiwa ndani ya Israel,nchi aliozaliwa, na kukulia,na kufa Yesu,wakristo ni 2% tena sio wenyeji wa hapo,wamepitwa hata na waislamu ni 16%.Iweje nchi alioishi Yesu,pamoja na wafuasi wake 12,washindwe,kuwaingiza katika ukristo ndugu zao,hao ndugu zao wawe na dini tofauti na Yesu,na tena hawamtambui Yesu.
 
Kumbe ulikuwa muislamu,hukuwa muumini wa dini ya kislamu,karne hii waislam wengi sana wauumini wa dini ya kiislamu wachacahe. Muumini wa dini ya kiislamu habadili dini yake lakini muislamu hubadili dini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweni na akili,vile mnavyodanganyana makanisani,kwa kutoa mapepo fake,kununuwa watu,na kuwafanya wana mapepo,au kuwafanya ni kilema,au kukosa uzazi,hivi sasa watu wengi wameshtuka uongo huo,ndio mnabadili gia kwenye maji mafupi sasa,kwa kuleta vigano vya kutunga.
Mara tumekamata wachawi,wachawi wa kuwatengeneza,mara nilikuwa muislamu nasomea ushekhe,nikasomea majini,mara mseme nilikuwa shekhe,sasa nimeokaka,sasa mwaja na mbinu ya kimapenzi.
Hebu fikiria katika akili ikiwa ndani ya Israel,nchi aliozaliwa, na kukulia,na kufa Yesu,wakristo ni 2% tena sio wenyeji wa hapo,wamepitwa hata na waislamu ni 16%.Iweje nchi alioishi Yesu,pamoja na wafuasi wake 12,washindwe,kuwaingiza katika ukristo ndugu zao,hao ndugu zao wawe na dini tofauti na Yesu,na tena hawamtambui Yesu.
Haya sasa umeyaleta wewe hii ni dalili ya kuishiwa hoja ..tumia akili kidogo , weka udini na jazba pembeni utaelewa kusudi la mada hii
 
Hata nikiingia haikuhusu pambana kuokoa nafsi yako yangu IPO salama ktk Kristo Yesu aliyekufa akafufuka
Huu sio uandishi wa aliyewahi kuwa muislamu.Kwa sababu kama ungekuwa umewahi kuwa muislamu,usingeleta hoja ya kufa Yesu akafufuka,aliyekufa twaweza kukusaidia wewe uliye hai.
 
Hapana mkuu ntabaki na jina hili hili milele lkn Yesu akiwa ndani yangu
Story za kutunga,mpanga mnajibadili jinsia,wapo wenzako,wanavaa mpaka nguo za kike, ili aonekane kaingia ukristo,kwenye mikutano ya kigalatia.
 
Nimekusomaa lakini sikuona mahali ulipokivukia hicho kizingiti cha dini. Kumbe sasa naamini kuwa; Mwanamke hana dini!!!! Ukaja na bashasha hapa kutuambia kuwa umebadili dini kwa sababu ya mwanamume?? Je, huyo mtu ndo mola wako?? Waweza fanikiwa saana kidunia ila akhera ukaikosa. Hukumbuki kuwa ipo siku utapewa sanda tu kama mali yako kuubwa sana??
Sikushauri hata urudie dini yako kwani utakuja ambukiza na wengine
Anayefanikiwa Duniani ni kwa neema za kumcha Mola wake na kujituma kadiri ya uwezo wake kufikia mafanikio....mtu wa kwanza kuingia motoni ni masikini anayepoteza muda wake kumfikiria tajiri kaupataje utajiri wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom