Kuweni na akili,vile mnavyodanganyana makanisani,kwa kutoa mapepo fake,kununuwa watu,na kuwafanya wana mapepo,au kuwafanya ni kilema,au kukosa uzazi,hivi sasa watu wengi wameshtuka uongo huo,ndio mnabadili gia kwenye maji mafupi sasa,kwa kuleta vigano vya kutunga.
Mara tumekamata wachawi,wachawi wa kuwatengeneza,mara nilikuwa muislamu nasomea ushekhe,nikasomea majini,mara mseme nilikuwa shekhe,sasa nimeokaka,sasa mwaja na mbinu ya kimapenzi.
Hebu fikiria katika akili ikiwa ndani ya Israel,nchi aliozaliwa, na kukulia,na kufa Yesu,wakristo ni 2% tena sio wenyeji wa hapo,wamepitwa hata na waislamu ni 16%.Iweje nchi alioishi Yesu,pamoja na wafuasi wake 12,washindwe,kuwaingiza katika ukristo ndugu zao,hao ndugu zao wawe na dini tofauti na Yesu,na tena hawamtambui Yesu.