Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.

Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.

Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
Aiseee
 
Tena huyo jamamimi sikuwahi kumjaji kabisa, na nilisimama nae kipindi kile.

Weee alinipiga laki 3...
Nikampotezea mazima mpaka leo.
Juzi kati akanicheki tena ana shida eti atanilipa mwisho wa mwezi, haaminiki sehemu yeyote walau mimi naweza msikiliza.

Rafiki yetu mimi na Mzigua90 .
Aisee[emoji2296]
 
Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.

Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.

Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
Lol. Mbona ana kazi nzuri tu sasa hivi kwa namna alivyoniambia? Kwanini haachi hayo mambo jamani

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Maisha ya wanafunzi haswa vyuoni na familia zetu support za kujikimu shida... Muda mwengine ule mkopo inakubidi u share na ndugu yako mwengine ili asome..
Alafu mtu anakuja kutumia shida zako kujinufaisha....

Mkuu samehe tuu..
 
Back
Top Bottom