cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,670
- 5,036
Kimeshapitamimi nasubiri kipengele cha kumla kanya
Kimeshapitamimi nasubiri kipengele cha kumla kanya
Uzi mwanzan ulikua mtamu sana wajuaji wakaingia wengine hata south hawapajui kama mm hapa wakaanza kukosoa wengine wakaingia na matangazo yao ya udangaj kuna member ukiwaona kweny Uzi ujue mambo yameharbika
Mkuu nilichogundua kuleta Uzi JF inahitaj roho ngumu kuna watu wapo humu kwa ajili ya kukosoa tu na ujuaj mwingi mfano huu Uzi tulikua tunajifunza mengi sana lakn wakosoaji wamekua wengi yan wao kila kitu wanajua walaniweKuna watu wanakera na hadithi zao inabidi tukubaliane kama wanaJF mtu kama hana muda wa kutype hadithi yake pembeni na kazi yake iwe ni kutupia tu jukwaani asilete uzi wake. Mimi sio mtabiri ila soon tu tutaombwa buku ya vocha...
Jamaa mbna kapotea tena lakinHao tuwape jina la vishoka nyambaf
Kuna ma***ya wawili watatu wajuaji sana kila kitu wanajua, kila mahali wanapajua, kila kitu wanachoUzi mwanzan ulikua mtamu sana wajuaji wakaingia wengine hata south hawapajui kama mm hapa wakaanza kukosoa wengine wakaingia na matangazo yao ya udangaj kuna member ukiwaona kweny Uzi ujue mambo yameharbika
Jamaa mbna kapotea tena lakin
Wanachoudhi ni kutukana kila mtu, wanafikiri kila mtu anafuata shobo humu? Wengine tunafuata stori nzuri shenzi kabisaHao tuwape jina la vishoka nyambaf
Hakuna namna maana jamaa anatucheleweshaHahahahhaaa jamani u made my morning..hahaha eti muimba kwaya
Wanachoudhi ni kutukana kila mtu, wanafikiri kila mtu anafuata shobo humu? Wengine tunafuata stori nzuri shenzi kabisa
Yan ukiona tu comment's zao zimeaenza ujue Uzi unaishia njian huo labda mleta Uzi nae awe mbabe wataanza kumpangia wanavyo taka wao wapo 3Kuna ma***ya wawili watatu wajuaji sana kila kitu wanajua, kila mahali wanapajua, kila kitu wanacho
Wafanye biashara zao kwa utulivu
Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.Wanaume wa humu ukijipindua tu....wamejazana Pm.
Sijui wana kasumba gani aisee.
Anataka uhakika hapo ujue.
weeee niambie komaHujui tayari ana wadogo zake mapacha!
Umetuanika mkuu hlf hata picha hujatutumia kama ulivyoahidi
Ww sio hadhi yangu binti nikisema nikutane na ww utajificha kwa aibu au kuzima simu kabisa ww endelea na hao wanakufata PM huko mm nipo mbali sana na wwWewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.
Niache nikatafute pesa
Yani wabongo bhana kwaiyo mtu asifanye kazi awe anaandika story tu kila mda au mtampa nyinyi mshahara
Mkuu umeongea point sana, sijui kama MIJITU MIPUMBAVU isiyojielewa itakuelewa!Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.