Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,207
- 5,990
HahahaKi ukwel wanasikitisha sana wanapeana na mbinu za kuwapata matajiri ili waolewe katikat ya Uzi wa mtu tena uzi unatufundisha watu mwingine anamatako makubwa wengine kukosoa hebu tupunguze ujuaji kidogo hata mleta Uzi nikituma hii episode sijui watanikosoa tena kuna mmoja alileta Uzi wake humu alikua akikosolewa anasusa na kutishia kuto kuendelea nashangaa kwenye Uzi huu kawa mkosoaji no 1 mkuu unaharb Uzi kama anakosea mwache hivyo hivyo (mgombea urais 2025) umejijua