Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kuna watu wanakera na hadithi zao inabidi tukubaliane kama wanaJF mtu kama hana muda wa kutype hadithi yake pembeni na kazi yake iwe ni kutupia tu jukwaani asilete uzi wake. Mimi sio mtabiri ila soon tu tutaombwa buku ya vocha...
Mkuu nilichogundua kuleta Uzi JF inahitaj roho ngumu kuna watu wapo humu kwa ajili ya kukosoa tu na ujuaj mwingi mfano huu Uzi tulikua tunajifunza mengi sana lakn wakosoaji wamekua wengi yan wao kila kitu wanajua walaniwe
 
Uzi mwanzan ulikua mtamu sana wajuaji wakaingia wengine hata south hawapajui kama mm hapa wakaanza kukosoa wengine wakaingia na matangazo yao ya udangaj kuna member ukiwaona kweny Uzi ujue mambo yameharbika
Kuna ma***ya wawili watatu wajuaji sana kila kitu wanajua, kila mahali wanapajua, kila kitu wanacho
Wafanye biashara zao kwa utulivu
 
Wanaume wa humu ukijipindua tu....wamejazana Pm.
Sijui wana kasumba gani aisee.
Anataka uhakika hapo ujue.
Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.
 
Tatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje.

Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive.

Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri.

Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake.

Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule immigration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport.

Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela.

Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.
 
Wewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.

Niache nikatafute pesa
Ww sio hadhi yangu binti nikisema nikutane na ww utajificha kwa aibu au kuzima simu kabisa ww endelea na hao wanakufata PM huko mm nipo mbali sana na ww
 
Yani wabongo bhana kwaiyo mtu asifanye kazi awe anaandika story tu kila mda au mtampa nyinyi mshahara

๐—ฌ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ฆ๐—œ๐—๐—จ๐—œ ๐—ช๐—”๐—ฃ๐—ข๐—๐—˜! ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐——๐—›๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ง๐—จ ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—˜ ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐—ง๐—จ ๐—”๐—ฆ ๐—œ๐—™ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—”...๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—ช๐—” ๐—”๐—ก๐—”๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—ข๐—๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—ฃ๐—ข๐—” ๐—ง๐—จ...๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—”๐— ๐—จ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—œ ๐—ก๐—”๐—ข๐—ก๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—” ๐— ๐—”๐—”๐—ก๐—” ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—๐—จ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—˜๐—ฅ๐—” ๐—ฆ๐—”๐—ก๐—”...๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—จ๐— ๐—ž๐—˜๐—•๐—˜๐—›๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐—๐—จ๐—จ
@๐—ž๐—ฒ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ป ๐—ฝ๐—ฎ๐˜‚๐—น
๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ
 
Mimi ni mwanaume lakini niseme ukweli. Katika nchi zenye wanaume wa hovyo hovyo, wavivu na saa zote wanawaza ngono wanapoona mwanamke ni Tanzania. Tuko nyuma kweli kweli na hatujui dunia inakokwenda. Na hali imekolezwa zaidi na mitandao kuingia. Watu wana approach kila wanayedhani ni mwanamke kwenye mtandao. Comments zimejaa sexism za kijinga na zilizopitwa na wakati. Habari ya nzuri yenye mafundisho mazuri ikiambatana na picha ya mwanamke watu wanakimbilia ku-comment kuhusu yule mwanamke na kuacha habari. Hii ni sehemu nzuri sana ya kuingiza kipato kwa wale matapeli wanaijifanya ni wanawake wanaotafuta wanaume.
Mkuu umeongea point sana, sijui kama MIJITU MIPUMBAVU isiyojielewa itakuelewa!
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom