cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 350
17:Baada ya kufika tuu ndani(kitandani)tayari nikaanza kuisachi channel"o"punde nikaipata na mara sebene likaanza.Nilishangaa dume zima nikitokwa na machozi bila kujitambua.Sijui huyu mtoto alikua kajifunzia wapi huu mchezo Lol.Maana akiri yote ilipotea,kwa jinsi nilivyokuwa nimempania niliapa kabisa kwamba lazima leo anikimbie,lakini badala yake mie ndie niliyeweka mpira kwapani.
Nilimuuliza vipi mbona leo uko fiti sana?
Akanijibu kwamba tangu nilivyompa nauri kwenda kwao wakati akiwa mjamzito alinitunzia mali zangu na kwamba hajawahi kuguswa na mwanaume yoyote so alikua na hamu na mimi.Nilifurahi sana na kuona kama nina bahati ya mtende kwa kupata mke mwaminifu.......
Baada ya story na sebene kuisha majira ya saa9 hivi tuliamua kupumzika maana niliona dhahili shairi anausingizi mwingi....
Tukiwa tumepumzika gafla iliniijia picha nzima ya ile safari yangu ya SINGIDA kwenda kumtafuta.Nilijaribu kuvuta hisia kama ni kweli nilisafiri au ilikua ndoto.
Baadae nikaamua kujiaminisha kwamba ilikua ndoto na maadamu tayari my love nimempata lets forget the past na tukaanza maisha na mipango ya kumpeleka kwa wazazi wangu.Na pia nilifurahi kwamba alimpa mwanangu jina nililomchagulia.......
duh! kweli nimeamini msemo wa wahindi usemao"Bo-- dinda,akili potea" yaani ulisahau mahangaiko yote ndani ya muda mchache namna hiyo sababu ya papuch!