GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
Alisemaje..?Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
Simba SC yangu / yetu ni mbovu mbovu na kwamba isipobadilika kuelekea Mechi ya Jana na Yanga SC tungefungwa.Alisemaje..?
Kimaitaifa sisi hatuna shida, labda nyie ndo mjipange.Watani, msimu ujao mjipange. Tafuteni kikosi Kizuri tupeperushe bendera ya nchi kimataifa
PoleniSimba SC yangu / yetu ni mbovu mbovu na kwamba isipobadilika kuelekea Mechi ya Jana na Yanga SC tungefungwa.
Mh! labda ngoja tuoneKimaitaifa sisi hatuna shida, labda nyie ndo mjipange.
Kimaitaifa sisi hatuna vipengele kabisaa. Lol
Sawaa.Mh! labda ngoja tuone
Una moyo mgumu sana wana simba wengne hadi leo wanakula kona lakini wewe bado unabishanaKimaitaifa sisi hatuna shida, labda nyie ndo mjipange.
Kimaitaifa sisi hatuna vipengele kabisaa. Lol
😂😂😂 safi mkuu, bado kuna vitu naendelea kuvisuka bwana ndege nae huyoo kashapeperuka.Na wale waliompinga Tajiri Sina BAYA na maono yake ya mechi siku Moja kabla ya mtanange
chirwa alisemaje tenaNa kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!