Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
mmh unafika huku kumbeBora mi nliachana na Subby bila indelllible
mmh unafika huku kumbeBora mi nliachana na Subby bila indelllible
AiseePole broo .....lakini mbona kila siku tunawaambia humu kuwa mwanaume ishi maisha yako kwanza mbona hamuelewi.....? Tatizo ni ubishi na kujiona nyie ndio romantiki sana kushinda babu zenu na baba zenu....! Inauma sana ila ndio ishakuwa tutafanyaje sasa ...![]()
Mimi hata kwa mke wangu sifanyi ..siwezi Kutoa mamlion ya pesa na kumpatia mtu wakati Mimi uwezo wa kumiliki hizi pesa SinaDaaah pole sana ndungu! Mapenzi haya jamani wanaume sijui tumelogwa na nani unamfunguliaje biashara demu tu tena kwa hela ya mkopo bank? fanya hivi kwa mkeo tu sio kimada madhara yake ni makubwa hawa viumbe ni wa kuishi nao kwa akiri sana otherwise ni mateso ya maisha kama haya, Kumsomesha mwanake kabala hujamuoa,kumfungulia biashara, acha huo upuuuzi utakuja kujuta, au kumpa mavitu ya dhamani kuliko uwezo wako kwa kutaka kujionyesha wewe mwanaume ni hatari kwa afya yako .
😥Ila mapenzi yanaweza kukupa jeraha lisipone milele.
Ah mi siwezi kukufariji bana.
Au sio 😁😁Mi hata ukilipa kisasi nakuelewa.
Sitaki hata kuwa marafiki, oh sijui songa mbele sijui maisha ndo yalivyo sijui bla blah muachie Mungu.
Wala.
So we react tu kivyovyote ,fresh tu.
Daaahh mapenzi haya jaman.......nimuhimu Sanaa mtu kujifunza mapema namna ya kuruhusu mapenzi yasikutawale......na hii imenipa nguvu kuendelea kuwa hii tabia yako ya mim kuonekana sipo romantic na Wala sijui kujali...
Natamkiwa hii kauli karibu kwa kila mwanamke ninae kuwa nae kwnye mahusiano...!!
Haikua hivi mwanzo.....nilianza kuwa hivi baada ya kugundua mapenzi yanaweza kuniharibia maisha yangu Kama nikiendekeza kuyaabudu.
Hata mke wangu asije tegemea kwamba love yangu kwake itavuka beyond 70%......never....!!!
Mwanamke hata umpende vipi!! Umjali vipi!!! Kitandani umfanye kwa mastyl yote tena kwa rate ya 1hr/bao........bado itafika tu time atakuletea pigo za usaliti na dharau...
Na tangu niutrain ubongo na moyo wangu kuwa hivi,,,,,,imekuwa very easy to let it go......!!!
Yani nikishaona tu mwanamke kaanza kubadilika vitabia, majibu ya hivyo, misunderstanding, dharau, poor communication.....basi fasta sana napiga u-turn na kuendelea kula maisha katika njia zingine.
Na Cha ajabu ni kwamba hii imekua Kama dawa katika mahusiano yangu.....wengi wao wamekua wakijirudi baada ya kugundua wananiletea ujinga wakitegemea ntateseka kumbe holaahhhh.......
That is my principle!!!
Pole Sanaa ndugu yangu kwa yalio kukuta....Mungu akasimame na ww
WeeLabda sikio la kufa! Kama mwanaume umeamua kuwekeza kwa mwanamke ambaye si mkeo basi fanya hivyo kama msamaria mwema ili mambo yakigeuka mezea na songa mbele.
Pia tujifunze kufanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu, sio kufurahisha wengine wakati unajiteketeza, tuwe na kiasi. Hao waliopo kwenye ndoa tu changamoto sembuse mpenzi?.
Jitahidi kusamehe mkuu, hamna namna kubali matokeo maisha yaendeleedada yangu najitahidi kuwa na moyo wa kusamehe ila hali yangu ya ulemavu na majuto yananiumiza na kunitesa mimi siwezi sahau na kusamehe nimejitahidi nimeshindwa
Very true 👊🤔🤔A very touching story.Ki-umri nipo sawa na wewe ila kwa uliyopitia na unayoendelea kuyapitia ni mazito sana ndg yangu M/Mungu akupe uvumilivu na subra kama vitabu vya dini vinavyotusihi.
Muda wote kiumbe kiitwacho mwanamke au kiumbe chochote chenye jinsia ya kike kiogope sana because generally they have short sight on how to see things.
Usije ukajaribu katika maisha yako katika kiumbe hiki ukawekeza moyo wako,mali zako,siri zako au hata uaminifu kwake ni jamii isiyo na shukrani kabisa though sio wote ila naamini 95% hawana shukrani yaani wamejawa na tamaa.
Ulikosea sana ulipoamua kuwekeza 7.M kwake ili afanye biashara lakini asivyo na shukrani amekusaliti mbele ya rafiki yako then uka-panic na kupata ulemavu ambao hukua nao katika kipindi cha kuzaliwa.
Jipe moyo ndg yangu naamini utashinda kwani ulemavu sio mwisho wa maisha.
SurePole sana inasikitisha sana,
Ila jamani mchumba hasomeshwi,,
Pia mpenzi or mtarajiwa hafunguliwi miradi ,,
Hayo yote yafaa yatekelezwe na wazazi wake sometimes wanaume tuache viherehere tutaishia jera kwa kufanya matukio ya ajabu kisa kulipa visasi
Kwa kweli 😁Mapenzi ya kukopa mil 7 sababu ya mwanamke..
Kama haya ndio mapenzi Basi mi ni MSHAMBA SANAA.
#YNWA
Inaumiza Sana 😥Kama hii stori yako ni ya kweli basi ulimwengu ni katili sana kwa baadhi ya watu.
Kweli kabisa .. tunaoishi hivi tuna enjoy Sana maishaPole sana mtoa mada.
Matendo ya wanawake kama haya huwa yanawachukiza sana wanaume na wengine wanashindwa kuvumilia na kujikuta wanafanya mauaji na gunia la mkaa kuhusika.
Kuna haja ya kuzijua tabia za wanawake na kujifunza namna nzuri ya kuweza kuishi nao. Mfano, Kwa kubadilisha mitazamo yetu kwamba unaamini kuwa mpenzi ni mtulivu na hawezi kuwa na mahusiano na mtu mwingine. Pia tuache kujitoa kimwili na kiroho kwa wapenzi wetu, tuishi nao kwa staili ya kuwachukulia poa. Ukibaini haendani na itikadi zako achana nae kistaarabu kisha endelea na mishe zingine.