- Thread starter
- #181
hongera ndugu yangu kwa ajira na pole kwa tatizo la masikio, najua jinsi unavyoumia na unayopitia, yani tatizo la masikio ndo limefanya hata nje nisitake kutoka mtu anakwambia hujambo unasema salama inaumiza sana, mazungumzo unapata kwa asilimia 40 tu hizo nyingine unabaki kusema ndio hivyo au kucheka inaumiza sana,Mkuu pole sana sana kwa tatizo la kutosikia hata mm nilipata ila miaka kama 4 nyuma kwa quinine izo izo ila na story ya mapenzi ilishanitokea kama ivyo
Kifupi kuna kitu mfano ulipomfuata ila mm demu alinipenda sana mpaka washkaji wakanshtua oya demu anakutaka tukiwa chuo mwaka wa kwanza basi nilikuwa sina ishu nae kabisa napambana na matatizo yangu niko mnyonge lecture siambulii kitu more than notes on a pamphlet basi bhana nikamtokea akakubali fasta sasa mm ndo nikampenda zaidi hajawa kuniomba hela sema mm boom likitoka namega kwa wazazi iliyobaki budget ya mihogo kuiifanya mgumu kumbr pesa sina
Kuna kipind mwaka wa tatu alianza kuomba pesa anapiga gharama mara anataka laki ya nguo tumi mwenyewe sina namchana mi mweupe sina hela dharau zikaanza kaka hapokei simu ,anajibu kwa nyodo ,kuna siku anasema eti bora tuachane then anacheka nikaona poa tu nikamwambia goodbye sitokupigia simu hata siku moja
Laiti ningembembeleza yangenikuta kama hayo kaka yaliyokukuta but nilijikuta niko sahihi kwa kiasi fedha nilituma kwa wazazi baraka namaliza tu chuo naajriwa na salary ya pesa ndefu kidogo sina preshanangojea alijelete tu
nandio kikwazo kikubwa kwangu kuanza kujiajiri nawaza nitahudumiaje wateja wa hizo nguo au ndio nitaulizwa hii bei gani nitasema salama tena Mungu anihurumie tu.


