Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

Kwa sasa ninachoweza kusema ni POLE, mengine tutaongea ukipona.
 
Unajikuta unaleta uraia mwema kwenye dili ukipata dili piga hii nchi ishakuwa shamba la bibi hapo ungeelewana nao wakakukatia chako ungekuta sahivi unavimba tu ona sasa


Unahangaika na matibabu.ungetukuta wana wa Manzese kwenye dili zetu halafu unatuletea habari za kike kuropoka na umbea kutuchoma. Siongei masihara sikufichi nasema ukweli tungekutia bisibisi za tumbo
 
Mtendaji wa Kata tulikuonya kwamba Usaliti ni laana
 
Unaishi kwenye nchi ambayo ubaradhuli ni sifa kuu ya wenye nacho na walio juu ya wengine...

Na bahati mbaya awamu uliyounga mkono iliendekeza aina hii ya ubaradhuli kiasi waliokuwa na mikono ya chuma walikandamiza haswa waliokuwa na miili ya mabua...

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…